Asha Bakari aanguka ghafla Dodoma

Huyu ni yule anapokuwa Zanzibar anataka 3 lakini akifika Dodoma anasema serikali 2 ndio mfumo mzuri wa Muungano.
 
Mungu amrehemu apone haraka arudi Dodoma kwenda kuwaibia wa-tanzania kuchukua posho bila kufanya kazi. Ha haa haaaaaaaaa
 

Anaonekana anajua kweli kweli kuongea huyu bi mkubwa
 
Hizo ni dalili za Ebola kabisa. Hakuna haja ya kumleta Muhimbili, hapo ni kuweka quarantine na atibiwe hapo hapo Dodoma.
 
Ukiona watu wanakuzushia mabaya ujue una mahusiano ya karibu na SHETANI!
 
eti muasisi wa kuufyata na kuufyatua watanzania jama..
 
Asha Bakari au Asha Baraka ni kaswali tu wakuu.
 
Reactions: BAK
Hizi chuki nyingine jamani sasa too much,anyway labda mnajuana wenyewe ngoja tuwaache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…