Asha Bakari aanguka ghafla Dodoma

Asha Bakari aanguka ghafla Dodoma

Huyu ni yule anapokuwa Zanzibar anataka 3 lakini akifika Dodoma anasema serikali 2 ndio mfumo mzuri wa Muungano.
 
Mungu amrehemu apone haraka arudi Dodoma kwenda kuwaibia wa-tanzania kuchukua posho bila kufanya kazi. Ha haa haaaaaaaaa
 
Taarifa ziliopo ni kwamba Bi Asha Bakari wa CCM ameanguka ghafla huko Dodoma akitokwa na damu za mdomo na masikio na hivyo kuwahiwa hospitali ya Muhimbili.

View attachment 179429


-------------------

Taarifa zilizopatikana kutoka Dodoma zinaeleza kwamba Mjumbe machachari wa Bunge la Katiba Asha Bakari (CCM) ameugua ghafla; kahamishiwa Dar es Salaam kwa uchunguzi zaidi japo kapata nafuu.

Anaonekana anajua kweli kweli kuongea huyu bi mkubwa
 
Hizo ni dalili za Ebola kabisa. Hakuna haja ya kumleta Muhimbili, hapo ni kuweka quarantine na atibiwe hapo hapo Dodoma.
 
Ukiona watu wanakuzushia mabaya ujue una mahusiano ya karibu na SHETANI!
 
eti muasisi wa kuufyata na kuufyatua watanzania jama..
 
Huyo bibi simpendi, ni mchumia tumbo na hana jipya. Uwepo wake ni janga kwa wananchi kwenye huu mchakato wa katiba mpya!...Namchukia kuliko kawaida..Nadhani kwa sasa acha nitulie ila nikijiridhisha kwamba hizi taarifa ni za kweli, nitakuwa na hafla weekend hii kuupa hadhi na heshima wakati mzuri kwangu kama huu.Kwa hilo nadhani na kwa kweli nina uhakika itakuwa faraja kubwa kwangu kuondokewa na adui kwenye ulingo wa mapambano! Kwa sasa ni muda muafaka kwangu kuongeza nguvu ili nijiridhishe na habari hii ili mambo yaanze mapema iwezekanavyo! Kila mtu ana muda ambao analazimika kuwa na majonzi na muda ambao anakuwa na furaha.Na huu ni muda wa furaha na faraja kwangu!
Hizi chuki nyingine jamani sasa too much,anyway labda mnajuana wenyewe ngoja tuwaache.
 
Back
Top Bottom