Asha Bakari aanguka ghafla Dodoma

Asha Bakari aanguka ghafla Dodoma

Mungu amjalie afya njema arudi kuendelea na jukumu la kutunga katiba.
 
Taarifa ziliopo ni kwamba Bi Asha Bakari wa CCM ameanguka ghafla huko Dodoma akitokwa na damu za mdomo na masikio na hivyo kuwahiwa hospitali ya Muhimbili.

View attachment 179429


-------------------

Alipelekwa Muhimbili jana. Ni Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (Viti Maalumu). Ni Mbunge wa Bunge la Katiba.


Katibu wa Bunge, Yahya Khamis Hamad amethibitisha. Amesema tatizo la kutoka damu puani kwa mhe ni la kawaida... Aliwahi kupelekwa kutibiwa nje ya nchi kwa tatizo hilo. Kwa sasa anaendelea vizuri. Madaktari wanasema huenda kumetokana na hali ya hewa ya Dodoma ambayo kwa sasa ni baridi.
Akipata nafuu, atarejea Dodoma kuendelea na vikao

haya mabunge mengine yangekuwa yanapunguza idadi bungeni maana ni kero tupu yawapo bungeni
 
Watakuwa wameshapata kisingizio cha kuahirisha BMK!

huyo yupo bungeni kwa ajili ya posho tu,hata vifungu vya sura mbalimbali haelewi,eti anapigania katiba ya watz,atakuwa yeye!bila maridhiano katiba haipo nyie maccm,
 
. G Sam muone huruma huyo mama mkuu...wote tuna fahamu magamba ni tatizo
 
Last edited by a moderator:
Ni Asha Bakari hata mimi kabla ya kuufungua huu uzi nikadhani ni Asha Baraka pamoja na kuwa imeandikwa Bakari, baada ya kuona picha ndio nikajua si al maaruf Asha Baraka.


Asha Bakari au Asha Baraka ni kaswali tu wakuu.
 
Ndo kusema watu walio omba ebola ifike bungeni kilio chao kimesikikaaa

ikimkamata Lukuvi na wassira, tayari wabunge walio na akili watatumia akili sasa kujadili. Lakin kwa sasa naomba huyo mmbaguzi wa wapemba na chanzo cha mifarakano zanzibar afe ili watoke Dodoma kwenda kuhudhuria mazishi.
 
Msalani. Naungana na wewe kumtakia mema. Lakini kwa kuwapigania Watanzania,hapana bwana mdogo. Huyu si ndiye yule mbibi aliyemaliza muda wake wote kwa matusi kwa Jusa, akisema serikali ya zanzibar ni ya kimapinduzi haipinduliwi kwa makaratasi, na matuisi kede kede? Anapigania watanzania gani kwa hoja ipi? Mtu asiyejua hata maana ya bunge maalum la katiba, wala hana habari kama kuna kitu kinaitwa rasimu ya katiba!. Tafadhali acha utani.

Dawa yake Dr. ampe complete bed rest ya miaka miwili ili akiruhusiwa kuinuka, akute dunia yake haipo.

La msingi, kama ni ebola, wabunge walioko dodoma wawekwe kwenye quarantine hadi mwezi mmoja upite bila kukutana na watu wa nje. Yaawezekana natural justice Mungu ameileta ili kuwastopisha hawa wahuni.

Baada ya kuona BAK MANI na Daudi Mchambuzi wame like hii post nimejikuta ninacheka sana.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mkuu CHOONI, huyu mama yenu ndo yule anayelilia u.u.me Wa Jussa? Kazi kweli kweli!!

Ha ha ha ! Umenikumbusha jinsi Sofia Simba alivyosema kuwa Lowasa ni dume la mbegu. Hiki chama chao kinaonyesha suala la kufyatuana linapewa kipaumbele


Sent from my iPad using JamiiForums
 
ikimkamata Lukuvi na wassira, tayari wabunge walio na akili watatumia akili sasa kujadili. Lakin kwa sasa naomba huyo mmbaguzi wa wapemba na chanzo cha mifarakano zanzibar afe ili watoke Dodoma kwenda kuhudhuria mazishi.
Na uwezo wa kupatikana ile theluthi 2 ndo utaongezeka vizuri haaa ha haa haa
 
Hizi chuki nyingine jamani sasa too much,anyway labda mnajuana wenyewe ngoja tuwaache.

Kikwete: "The death of Osama bin Laden is a relief" The same applied to me for Asha Bakari...
Tatizo watu hamjui athari za wanaovuruga huu mchakato wa katiba mpya! 2015 Tanzania itakuwa nchi nyingine kabisaaaaaa na kwa kweli hili hata wewe unalijua!
 
Back
Top Bottom