leo umemkumbuka Mungu? Mungu anapenda uadilifu, ndiyo nakushangaa kumtaja Mungu wakati katiba ya ccm imeondoa vipengele vya uwazi na uwajibikaji na maadili, ila sisi tunamtakia pole Asha BAKARI.Mungu amsaidie apate nafuu. Ili arudi bungeni kuendelea kuwapigania watanzania.