Asha Bakari aanguka ghafla Dodoma

Asha Bakari aanguka ghafla Dodoma

get well soon asha bakari. wewe ni mpambanaji hodari wa znz na tanzania kina jussa walie tu. inshallah utarejea ulingoni soon.
 
Kesho maafisa wa afya waende Bungeni inaonekana Ukawa washamwaga virus Vya Ebola Huko

Ingekuwa ni UKAWA wangefanya hivyo ila kwa ss wenye nchi hata ikibidi mmambukizwe wote hatuwezi kutengwa!

Any way mbona mko kimya Wapendwa? Semeni jambo na nchi itapona!
 
[h=1]Mjumbe wa Bunge Maalumu, Asha Bakari Makame augua ghafla, alazwa hospitali ya Muhimbili
nn-564x272.jpg
[/h]
Mjumbe wa Bunge Maalumu la katiba,Bi Asha Bakari Makame
Na Waandishi Wetu, Mwananchi
Posted Agosti 23 2014 saa 10:57 AM
Habari ambazo zililifikia gazeti hili zinasema Makame alianza kuumwa usiku wa kuamkia juzi baada ya uvimbe mdogo uliokuwa umeota puani kupasuka na kuvuja damu nyingi.
Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalumu, Asha Bakari Makame amelazimika kuwahishwa kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu baada ya kuzidiwa akiwa Dodoma ambako alikuwa akihudhuria vikao vya kamati.
Habari ambazo zililifikia gazeti hili zinasema Makame alianza kuumwa usiku wa kuamkia juzi baada ya uvimbe mdogo uliokuwa umeota puani kupasuka na kuvuja damu nyingi.
“Alivuja damu nyingi sana kiasi kwamba presha ilishuka na kulipokucha jana (juzi) asubuhi walipanga kumpeleka Dar es Salaam kwa ndege, lakini madaktari walishauri kwamba kwa hali yake asingeweza kuhimili usafiri huo, hivyo walimsafirisha kwa ambulance (gari la wagonjwa) saa tano asubuhi,” kilisema chanzo chetu.
Mtoa habari wetu alisema Makame aliwahi kufanyiwa upasuaji hivi karibuni na kwamba mara kadhaa amekuwa akipatwa na matatizo ya kiafya. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Dodoma, Dk Nassoro Mzee alithibitisha kupokelewa kwa mjumbe huyo na kuhamishiwa Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi.
“Ni kweli alipokelewa jana (juzi) na tulimpa rufaa kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi,” alisema Dk Mzee. Hata hivyo, alikataa kutaja ugonjwa unaomsumbua mjumbe huyo.
Katibu wa Bunge Maalumu, Yahya Khamis Hamad alithibitisha mjumbe huyo kupelekwa Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu baada ya kuugua ghafla.
“Hatujafahamu tatizo ni nini ila ni taarifa tulizonazo ni kwamba aliwahi kufanyiwa upasuaji hivyo ana tatizo ambalo limekuwa likimfanya apelekwe hospitalini kupatiwa matibabu mara kadhaa,” alisema Hamad
 
Mpaka kupelekwa DSM ni ugonjwa gani huo wa ghafla wakutiririka damu ,akidi ishapungua haya tusubiri mwingine ahamishiwe kujaza nafasi yake ! Mwenyezi Mungu amaalie apone huyu mtu aone mabadiliko ya nchi akiwa hai ! Sipendi kuona CCM anakufa wakati nchi inaingia kwenye mabadiliko makubwa ,wawe hai waone nchi inavyoendeshwa !
 
Tumuombeni Mola ampe afya njema huenda ikawa ni mtehani akapata mshtuko na akarudi kwa Mola wake ?
Maana mtu husifiwa kwa mazuri yake na huchukiwa kwa mabaya yake, maana mmmmm huyu Bibi katika ccm wenye mdomo mchafu na huyu no1 , na hata staha na heshima na Utamaduni wa Kizanzibar ambao hutokana na hulka za kislamu huyu Bibi hana Kila balaa analo .
Hivi karibuni ilikua Bunge lote Dodoma kalitawala yeye kwa matusi ya nguoni .
Eti enda mbio na maslahi kasahau kua hana gerentii na Allah kua hayo maslahi anayo yaendea mbio kwa kunakamiza jamii na kusaliti nchi na wananchi kweli atayafikia hapa Duniani?.
Wako wengi tu kama hawa waliokua wako tayari kua na kusaliti lakini maslahi yao yawe mbele
 
Ebola dodoma? Au alisafiri kwenda West africa siku za karibuni?
 
Kesho maafisa wa afya waende Bungeni inaonekana Ukawa washamwaga virus Vya Ebola Huko

Kuna watu tunafanya maombi,hatulali.
Huyu muumba anasikia kilio chetu.
Hilo ni pigo la kwanza kwenye akidi za kulazimisha.
UKAWA wala hawahusiki ndg yangu.
 
Ebola kama mibunge yote ya BMK ijifie huko turudi tupate katiba mpya kwa staili ya S3
 
Taarifa ziliopo ni kwamba Bi Asha Bakari wa CCM ameanguka ghafla huko Dodoma akitokwa na damu za mdomo na masikio na hivyo kuwahishwa hospitali ya Muhimbili.

View attachment 179429

-------------------

Alipelekwa Muhimbili jana. Ni Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (Viti Maalumu) pia mbunge wa Bunge la Katiba.

Katibu wa Bunge, Yahya Khamis Hamad amethibitisha. Amesema tatizo la kutoka damu puani kwa mhe ni la kawaida... Aliwahi kupelekwa kutibiwa nje ya nchi kwa tatizo hilo. Kwa sasa anaendelea vizuri. Madaktari wanasema huenda kumetokana na hali ya hewa ya Dodoma ambayo kwa sasa ni baridi.

Akipata nafuu, atarejea Dodoma kuendelea na vikao

Hajafa? maana uwepo wake ni laana kwa nchi bora afe tu na sisi tutakufa baadae.
 
Taarifa ziliopo ni kwamba Bi Asha Bakari wa CCM ameanguka ghafla huko Dodoma akitokwa na damu za mdomo na masikio na hivyo kuwahishwa hospitali ya Muhimbili.

View attachment 179429

-------------------

Alipelekwa Muhimbili jana. Ni Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (Viti Maalumu) pia mbunge wa Bunge la Katiba.

Katibu wa Bunge, Yahya Khamis Hamad amethibitisha. Amesema tatizo la kutoka damu puani kwa mhe ni la kawaida... Aliwahi kupelekwa kutibiwa nje ya nchi kwa tatizo hilo. Kwa sasa anaendelea vizuri. Madaktari wanasema huenda kumetokana na hali ya hewa ya Dodoma ambayo kwa sasa ni baridi.

Akipata nafuu, atarejea Dodoma kuendelea na vikao

huyu Bibi ni mmoja wa wale vibaraka ...Mungu amlaani.
 
Mpaka kupelekwa DSM ni ugonjwa gani huo wa ghafla wakutiririka damu ,akidi ishapungua haya tusubiri mwingine ahamishiwe kujaza nafasi yake ! Mwenyezi Mungu amaalie apone huyu mtu aone mabadiliko ya nchi akiwa hai ! Sipendi kuona CCM anakufa wakati nchi inaingia kwenye mabadiliko makubwa ,wawe hai waone nchi inavyoendeshwa !

bahati mbaya niko mikoani wiki hii. dah ningekuwepo alafu anikute! na ushetani wake, yaani basi tu.
 
Taarifa ziliopo ni kwamba Bi Asha Bakari wa CCM ameanguka ghafla huko Dodoma akitokwa na damu za mdomo na masikio na hivyo kuwahishwa hospitali ya Muhimbili.

View attachment 179429

-------------------

Alipelekwa Muhimbili jana. Ni Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (Viti Maalumu) pia mbunge wa Bunge la Katiba.

Katibu wa Bunge, Yahya Khamis Hamad amethibitisha. Amesema tatizo la kutoka damu puani kwa mhe ni la kawaida... Aliwahi kupelekwa kutibiwa nje ya nchi kwa tatizo hilo. Kwa sasa anaendelea vizuri. Madaktari wanasema huenda kumetokana na hali ya hewa ya Dodoma ambayo kwa sasa ni baridi.

Akipata nafuu, atarejea Dodoma kuendelea na vikao

Ndo BiBi huyu aliporudi Bunge la Katiba pale mwanzo alikuwa anavaa Ninja mitaani watu wasimjuwe kama ni msaliti kule Zanzibar sasa anasumbuliwa na Ebola.,
 
Back
Top Bottom