da debora
Member
- Nov 16, 2013
- 15
- 26
Napenda sana kumshukuru Mungu na wanajamii kwa mchango wenu,japo kuna wengine walinikejeli,kunitania na wenye wema na mimi walinitia moyo,na wengi walijitokeza kuni pm na pia email,nawashukuru sana,mtakuwa marafiki zangu wa kawaida maana nimempata mmoja humuhumu,jamani msikate tamaa mnaoomba na kutafuta mume au mke mtapata,nawatakia kila la heri.ASANTENI SANA KWA WALE MLIOSHIRIKIANA NAMI.MUNGU AWABARIKI,AMEN