Anakuja Yesu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 563
- 485
Huku tunatafuta hela usifanye mchezo ww hukumaliza hata laki,wakati hao ana steka za mazao za kutosha.huku watu wanahitaji mapenzi ya kweli km hela wanawake tunayo
Umenifanya niwaze mbali na hivo avatar yako "ndanyelakakomu"Oyoooo wandali tunasema ukiwa mwanaume ule kwa jasho sasa mwanaume wa dar umekuja kujumua ndizi unajifanya mjuaji utafilisika mpaka......
Lako tafuta pesa acha vya bure eti unakula unakunywa kwa pesa ya mwanamke hadi utambaa ukodiwe gari mfyuuuuuuuuuDuh!! Mkuu hilo dongo langu au
Nashkuru kwa ushauri wako
Mkuu hapo inabidi niangalie kwa jicho la tatuKwa sisi ma Ustadhi... Ukiitwa kuchinja mf.. Lile beberu la mbuzi ambalo linatoa harufu... Kwanza lazima ulioshe vizur ili nyama isiwe na harufu ya ubeberu... Kwaiyo Bro ukiona unaudumiwa hvyo ujue kibra ipo karibu...
Cha kufanya mfahamu vizur kwanza... Ndo uwe huru kunywa mpaka ukatambaa.... Maana Mbeya kila kitu kwao dili... Unaweza ukakuta kapenda uwalaza, kiganja au hata nywele zako.. Kwaiyo kwa sasa ana kuseti ili aone kama una marafiki wa karibu hapo mbeya na kama hauna hata akikupoteza issue isiwe kubwa... Take care broMkuu hapo inabidi niangalie kwa jicho la tatu
Mwambie huyoHata sijui mnataka nini, mkipewa mnalia, mkituhudumia mnalia, Khaaa
Asante sana mkuu umenishauri vzr mnoCha kufanya mfahamu vizur kwanza... Ndo uwe huru kunywa mpaka ukatambaa.... Maana Mbeya kila kitu kwao dili... Unaweza ukakuta kapenda uwalaza, kiganja au hata nywele zako.. Kwaiyo kwa sasa ana kuseti ili aone kama una marafiki wa karibu hapo mbeya na kama hauna hata akikupoteza issue isiwe kubwa... Take care bro
Aiseeee!Hata sijui mnataka nini, mkipewa mnalia, mkituhudumia mnalia, Khaaa