mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 645
- 503
Watu wakupenda slope utawajua tu.
Rejelea hapo kwa majirani zetu wa Congo utaelewa nimemanisha kitu gani kuhusu "Mario"...kinshasa makambo te balingi mbote ozalaka te na mpo ya niniNdo lugha gani mkuu
Mbeya iyo kawaida. Mi ishawahi nitokea. Kuna siku tulikuwa city pub na jamaa zangu kwenye meza yetu akaja mdada moja akatusalimia kisha akakaa meza ya jirani. Mda si mrefu tukaletewa round za bia kuuliza baamedi akasema ni kutoka kwa yule mdada meza ya jirani. Tukaangaliana na kuulizana kama kuna moja wetu anafahamiana nae hakuna.Mkuu hivi vitu dar ni nadra ndo maana huku nimestuka kukutana na dada wa namna hii
Usisahau kale kabiasha kangozi za binadamu huko mbeya bado kapo mkuu siku ingine usilewe mpaka utambae tena.usipende dezo hivyo isijekua unaliwa timingSawa mkuu hata hivyo kuna mtu kashantonya kuhusu hilo