love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,164
Ndizi nyama tu unashangaa, hiyo stage ikivuka si ndo utachizika!!!Hpn mkuu tatizo ni aina ya huduma zinatia mashaka
Ndizi nyama tu unashangaa, hiyo stage ikivuka si ndo utachizika!!!Hpn mkuu tatizo ni aina ya huduma zinatia mashaka
Ulijuaje atafukuzwa..acha wivuHata Adam alivopewa na Eva waliishia kufukuzwa, pokea tu vya mwanamke muda ukifika utafukuzwa!
Kweli mkuu au nawe unataka utambaeNipatie namba zake nimkanye
PolKwakweli mwavuli sjakumbuka tena na siutaki tena
Pole Mh diwanKwakweli mwavuli sjakumbuka tena na siutaki tena
Enh namsadia maana hajui cha kufanyaKweli mkuu au nawe unataka utambae
Mkuu utani PM na mm hiyo # hawa dada zetu tusipowaonya wenyewe huku mikoOne tutachekwa na wana uume wa dar.Nipatie namba zake nimkanye
Poleni Sana wa Dar. Huko South ni ukanda mwingine. Sahau ya DarTatizo wale wa dar wametuathiri kisaikolojia,,,
Basi sawaEnh namsadia maana hajui cha kufanya
Mwanadam hanajemaHata sijui mnataka nini, mkipewa mnalia, mkituhudumia mnalia, Khaaa
Ni maajabu kwangu lkn pia sjaamini sana hili tukio
Lkn mpk nimeamini
Kilichofanya nisiamini ni kutokana na kuzoeshwa vibaya na dada zetu wa dar,,,,,
Nahitaji ushauri wenu wadau kuhusu hili tukio ,,,
Mimi nilikua dar sasa katikati ya mwaka huu nikaletwa mbeya kuna kazi naendelea nayo
Ktk harakati zangu za kutimiza majukumu yangu
Nilikutana na dada mmoja maeneo ya kiwira sasa kama mnavyojua sshv mvua zinanyesha kwa wingi
Nilikua na mwamvuli ikabidi nijifunike nae kwa bahati mbaya yeye alikua anaenda mbali kidogo ikabidi nimuachie mwavuli wangu
Lkn nikampa namba ili Siku akipita mtaani kwetu anipitishie
Hakuwahi kunipigia na nilimpa namba yangu yake sjachukua ,
Sasa Jana kanipigia asubuhi akajitambulisha hlf akaniomba tuonane jioni ya Jana jmosi
Akasisitiza kua amenialika nkamwambia poa
Ilipofika jioni akanipigia cm tena nikamuuliza nije maeneo gani
Akanielekeza ni maeneo ya tukuyu
Nikajikoki nikaenda kufika hio sehem akawa hajafika ila akaniambia we agiza unachitumia nakuja sshv,,
Basi nkaagiza bia moja kabla sjamaliza akatokea akiwa na rafiki yake ,, tukasalimiana pale na kutambulishana then tukaendelea na story za kawaida
Akaagiza nyama na ndizi za kutosha kwakweli nilikunywa na kula mpaka nikawa natambaa ikabidi nikodiwe usafiri nikarudishwa home
Sasa tangu asbh nawaza hv yule Dada ni MTU kweli au anataka roho yangu? Tangu asbh ananipigia na kunitext ikabidi nizime simu
Mi siamini kama huku mkoani kuna watu wa namna hii kwasababu kule dar tunanyongwa sana,,
Naombeni ushauri wadau huyu dada nimpotezee au kwasababu ananiambia anapenda kua karibu na mimi sasa kwa staili hii ntarudi dar kweli[/QUOTE hahaaaaaa home sweet homu tukuyu kusouth karibu kaka kuwa makini but siyo wote]
kwanini hukutaka watu wale pilau....Pete sijataka ndo maana nimeolewa kigumugumu
Ngafu naloli inyaMbombo ngafu........
uchoyo umeniacha kwankwanini hukutaka watu wale pilau....