Asanteni kina dada wa mikoani

Asanteni kina dada wa mikoani

Ni maajabu kwangu lkn pia sjaamini sana hili tukio
Lkn mpk nimeamini
Kilichofanya nisiamini ni kutokana na kuzoeshwa vibaya na dada zetu wa dar,,,,,

Nahitaji ushauri wenu wadau kuhusu hili tukio ,,,

Mimi nilikua dar sasa katikati ya mwaka huu nikaletwa mbeya kuna kazi naendelea nayo
Ktk harakati zangu za kutimiza majukumu yangu
Nilikutana na dada mmoja maeneo ya kiwira sasa kama mnavyojua sshv mvua zinanyesha kwa wingi
Nilikua na mwamvuli ikabidi nijifunike nae kwa bahati mbaya yeye alikua anaenda mbali kidogo ikabidi nimuachie mwavuli wangu
Lkn nikampa namba ili Siku akipita mtaani kwetu anipitishie

Hakuwahi kunipigia na nilimpa namba yangu yake sjachukua ,
Sasa Jana kanipigia asubuhi akajitambulisha hlf akaniomba tuonane jioni ya Jana jmosi
Akasisitiza kua amenialika nkamwambia poa

Ilipofika jioni akanipigia cm tena nikamuuliza nije maeneo gani
Akanielekeza ni maeneo ya tukuyu

Nikajikoki nikaenda kufika hio sehem akawa hajafika ila akaniambia we agiza unachitumia nakuja sshv,,
Basi nkaagiza bia moja kabla sjamaliza akatokea akiwa na rafiki yake ,, tukasalimiana pale na kutambulishana then tukaendelea na story za kawaida

Akaagiza nyama na ndizi za kutosha kwakweli nilikunywa na kula mpaka nikawa natambaa ikabidi nikodiwe usafiri nikarudishwa home
Sasa tangu asbh nawaza hv yule Dada ni MTU kweli au anataka roho yangu? Tangu asbh ananipigia na kunitext ikabidi nizime simu
Mi siamini kama huku mkoani kuna watu wa namna hii kwasababu kule dar tunanyongwa sana,,

Naombeni ushauri wadau huyu dada nimpotezee au kwasababu ananiambia anapenda kua karibu na mimi sasa kwa staili hii ntarudi dar kweli
Mnyakyusa hajui dawa wala limbwata na hajawahi kumuacha mtu salama.
Yeye anajua udhaifu wa men ni kwenye misosi na yeye hukamatia wengi hapo.
Ukweli mnyaki ni mtu mwenye roho nzuri nawasemea wanawake siyo midume.
Tafuna acha mbwembwe.
 
Hpn mkuu tatizo ni aina ya huduma zinatia mashaka
Chakula Mbeya ni kingi mno mf gunia la viazi ni 10000/=,kitimoto kg ni 6000 imechomwa tayari hapo ndizi za buku juu wanakuzilia vile. Pombe ndo tupo kiwandani kabisa. Wanawake wa Mbeya ni mchakariko balaa kutafuta hela wana hela chafu hawana midume ya kula nayo sasa wewe unashangaa nini.
Kama kwenu kuna njaa shida hamia Mbeya au Sumbawanga.
 
Ni maajabu kwangu lkn pia sjaamini sana hili tukio
Lkn mpk nimeamini
Kilichofanya nisiamini ni kutokana na kuzoeshwa vibaya na dada zetu wa dar,,,,,

Nahitaji ushauri wenu wadau kuhusu hili tukio ,,,

Mimi nilikua dar sasa katikati ya mwaka huu nikaletwa mbeya kuna kazi naendelea nayo
Ktk harakati zangu za kutimiza majukumu yangu
Nilikutana na dada mmoja maeneo ya kiwira sasa kama mnavyojua sshv mvua zinanyesha kwa wingi
Nilikua na mwamvuli ikabidi nijifunike nae kwa bahati mbaya yeye alikua anaenda mbali kidogo ikabidi nimuachie mwavuli wangu
Lkn nikampa namba ili Siku akipita mtaani kwetu anipitishie

Hakuwahi kunipigia na nilimpa namba yangu yake sjachukua ,
Sasa Jana kanipigia asubuhi akajitambulisha hlf akaniomba tuonane jioni ya Jana jmosi
Akasisitiza kua amenialika nkamwambia poa

Ilipofika jioni akanipigia cm tena nikamuuliza nije maeneo gani
Akanielekeza ni maeneo ya tukuyu

Nikajikoki nikaenda kufika hio sehem akawa hajafika ila akaniambia we agiza unachitumia nakuja sshv,,
Basi nkaagiza bia moja kabla sjamaliza akatokea akiwa na rafiki yake ,, tukasalimiana pale na kutambulishana then tukaendelea na story za kawaida

Akaagiza nyama na ndizi za kutosha kwakweli nilikunywa na kula mpaka nikawa natambaa ikabidi nikodiwe usafiri nikarudishwa home
Sasa tangu asbh nawaza hv yule Dada ni MTU kweli au anataka roho yangu? Tangu asbh ananipigia na kunitext ikabidi nizime simu
Mi siamini kama huku mkoani kuna watu wa namna hii kwasababu kule dar tunanyongwa sana,,

Naombeni ushauri wadau huyu dada nimpotezee au kwasababu ananiambia anapenda kua karibu na mimi sasa kwa staili hii ntarudi dar kweli
Umenifanya nicheke mkuu. Kwa hiyo unaogopa kutolewa out? Usiogope. Ni ukarimu tu huo uliotukuka
 
Jiulize maswali haya:
1. Kwa nini hajakufuata kwako.
2. Kwa nini anataka ukaribu gafla hivyo?
3. Kwa nini akujali kiasi hivyo?

Ni hayo tu ukiamua kumchukua kumbuka mkapime kabla ya yote maana hakuna kitu kinauma kama MAJUTO DUNIANI HAPA.
Na yeye ajiulize kwa nini alimwachia mwavuli ghafla vile [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom