Asanteni kina dada wa mikoani

Asanteni kina dada wa mikoani

Ni maajabu kwangu lkn pia sjaamini sana hili tukio
Lkn mpk nimeamini
Kilichofanya nisiamini ni kutokana na kuzoeshwa vibaya na dada zetu wa dar,,,,,

Nahitaji ushauri wenu wadau kuhusu hili tukio ,,,

Mimi nilikua dar sasa katikati ya mwaka huu nikaletwa mbeya kuna kazi naendelea nayo
Ktk harakati zangu za kutimiza majukumu yangu
Nilikutana na dada mmoja maeneo ya kiwira sasa kama mnavyojua sshv mvua zinanyesha kwa wingi
Nilikua na mwamvuli ikabidi nijifunike nae kwa bahati mbaya yeye alikua anaenda mbali kidogo ikabidi nimuachie mwavuli wangu
Lkn nikampa namba ili Siku akipita mtaani kwetu anipitishie

Hakuwahi kunipigia na nilimpa namba yangu yake sjachukua ,
Sasa Jana kanipigia asubuhi akajitambulisha hlf akaniomba tuonane jioni ya Jana jmosi
Akasisitiza kua amenialika nkamwambia poa

Ilipofika jioni akanipigia cm tena nikamuuliza nije maeneo gani
Akanielekeza ni maeneo ya tukuyu

Nikajikoki nikaenda kufika hio sehem akawa hajafika ila akaniambia we agiza unachitumia nakuja sshv,,
Basi nkaagiza bia moja kabla sjamaliza akatokea akiwa na rafiki yake ,, tukasalimiana pale na kutambulishana then tukaendelea na story za kawaida

Akaagiza nyama na ndizi za kutosha kwakweli nilikunywa na kula mpaka nikawa natambaa ikabidi nikodiwe usafiri nikarudishwa home
Sasa tangu asbh nawaza hv yule Dada ni MTU kweli au anataka roho yangu? Tangu asbh ananipigia na kunitext ikabidi nizime simu
Mi siamini kama huku mkoani kuna watu wa namna hii kwasababu kule dar tunanyongwa sana,,

Naombeni ushauri wadau huyu dada nimpotezee au kwasababu ananiambia anapenda kua karibu na mimi sasa kwa staili hii ntarudi dar kweli
Kiwira ni eneo lililojaa kila aina ya uovu, uzinzi, ukahaba, uchawi, kuuwana ******* senge, ajali za bodaboda yaani kila aina ya takataka ipo hapo, kuwa makini unaweza kuta ni jini hilo, kiwira hilo eneo sio kabisa
 
Kiwira ni eneo lililojaa kila aina ya uovu, uzinzi, ukahaba, uchawi, kuuwana ******* senge, ajali za bodaboda yaani kila aina ya takataka ipo hapo, kuwa makini unaweza kuta ni jini hilo, kiwira hilo eneo sio kabisa
Asante mkuu
 
Mikoa inayoongoza kwa maambukizo ya VVU:-
1. Njombe
2. Iringa
3. Mbeya
4. DSM
 
Ha ha ha ha watu wanavijembe humu! Khaaa ha ha ha haha huyo mtu wadada wa huko wanaupendo wa agape mkuu, ila kumbuka kuvaa CONDOM angalau kupunguza makali
 
Aisee Mimi mambo ya ofa inaniumiza kichwa ata kuanza kupima Afya nashindwa; mdada aliniteka Bukoba tukawa tunapiga peku kwasasa ninaumia jinsi ya kuanza kupima Afya.
Du! Pole
 
We jamaa bhn umemsaidia mwamvuli kakukumbuka kakutoa offer...asa angekuita kwake c ungepost mpaka facebook na insta [emoji38] chukulia kawaida acha kujishtukia
 
Ila story yako imenishangaza kuona umelipiwa maana hao hua hawalipagi ni nandra xnaa ndio maana ukafanya komoa[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom