Asanteni kina dada wa mikoani


Mhdiwani

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
479
Likes
319
Points
80
Mhdiwani

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
479 319 80
Ni maajabu kwangu lkn pia sjaamini sana hili tukio
Lkn mpk nimeamini
Kilichofanya nisiamini ni kutokana na kuzoeshwa vibaya na dada zetu wa dar,,,,,

Nahitaji ushauri wenu wadau kuhusu hili tukio ,,,

Mimi nilikua dar sasa katikati ya mwaka huu nikaletwa mbeya kuna kazi naendelea nayo
Ktk harakati zangu za kutimiza majukumu yangu
Nilikutana na dada mmoja maeneo ya kiwira sasa kama mnavyojua sshv mvua zinanyesha kwa wingi
Nilikua na mwamvuli ikabidi nijifunike nae kwa bahati mbaya yeye alikua anaenda mbali kidogo ikabidi nimuachie mwavuli wangu
Lkn nikampa namba ili Siku akipita mtaani kwetu anipitishie

Hakuwahi kunipigia na nilimpa namba yangu yake sjachukua ,
Sasa Jana kanipigia asubuhi akajitambulisha hlf akaniomba tuonane jioni ya Jana jmosi
Akasisitiza kua amenialika nkamwambia poa

Ilipofika jioni akanipigia cm tena nikamuuliza nije maeneo gani
Akanielekeza ni maeneo ya tukuyu

Nikajikoki nikaenda kufika hio sehem akawa hajafika ila akaniambia we agiza unachitumia nakuja sshv,,
Basi nkaagiza bia moja kabla sjamaliza akatokea akiwa na rafiki yake ,, tukasalimiana pale na kutambulishana then tukaendelea na story za kawaida

Akaagiza nyama na ndizi za kutosha kwakweli nilikunywa na kula mpaka nikawa natambaa ikabidi nikodiwe usafiri nikarudishwa home
Sasa tangu asbh nawaza hv yule Dada ni MTU kweli au anataka roho yangu? Tangu asbh ananipigia na kunitext ikabidi nizime simu
Mi siamini kama huku mkoani kuna watu wa namna hii kwasababu kule dar tunanyongwa sana,,

Naombeni ushauri wadau huyu dada nimpotezee au kwasababu ananiambia anapenda kua karibu na mimi sasa kwa staili hii ntarudi dar kweli
 
Rk10

Rk10

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Messages
1,004
Likes
993
Points
280
Rk10

Rk10

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2015
1,004 993 280
Jiulize maswali haya:
1. Kwa nini hajakufuata kwako.
2. Kwa nini anataka ukaribu gafla hivyo?
3. Kwa nini akujali kiasi hivyo?

Ni hayo tu ukiamua kumchukua kumbuka mkapime kabla ya yote maana hakuna kitu kinauma kama MAJUTO DUNIANI HAPA.
 
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
22,395
Likes
34,367
Points
280
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
22,395 34,367 280
Marioo bwana
 
T

to yeye

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Messages
2,634
Likes
2,123
Points
280
Age
30
T

to yeye

JF-Expert Member
Joined May 30, 2016
2,634 2,123 280
sijaamini...nimeamini....sijaamini....Nini unataka usaidiwe
 
Mnyalukolo Vahukaye

Mnyalukolo Vahukaye

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2017
Messages
293
Likes
171
Points
60
Mnyalukolo Vahukaye

Mnyalukolo Vahukaye

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2017
293 171 60
Mmh ushakula vya watu, subir kuliwa....
 
Mhdiwani

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
479
Likes
319
Points
80
Mhdiwani

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
479 319 80
Mkuu mi sio marioo
Jiulize maswali haya:
1. Kwa nini hajakufuata kwako.
2. Kwa nini anataka ukaribu gafla hivyo?
3. Kwa nini akujali kiasi hivyo?

Ni hayo tu ukiamua kumchukua kumbuka mkapime kabla ya yote maana hakuna kitu kinauma kama MAJUTO DUNIANI HAPA.
 
Prince Mhando

Prince Mhando

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Messages
4,951
Likes
4,031
Points
280
Prince Mhando

Prince Mhando

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2014
4,951 4,031 280
Nipatie namba zake nimkanye
 

Forum statistics

Threads 1,237,175
Members 475,465
Posts 29,280,291