IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,716
- 8,124
Nimewapenda sana kwa jinsi mlivyo na msimamo na Wing yenu.
Hakika nimejifunza vitu vingi toka kwenu.
Mzee wa Rula, PakaJimmy, Arushaone, Philipo, Tonykp, LiverpoolFC, mkiva... Preta, @Blakiwomani, Cantalisia, Lily Flower......nawapenda sanaaa.
IGWE....ulikuwa na haraka ya nini bhanaaaa!!!!
Nimepapenda sana The Narok.
Live Band.....tulikula na kula kwa furaha.
Nawapenda sana.
TUTAKUTANA SAFARINI MWANZA.
Mmmwwwahhhhhh....!!!!!!!
mkiva.....miss sana wewe.
.... nawapenda sanaaaa.
Duuuuuh_hata mimi nilitamani sana kuwa pamoja na wewe siku ile ila kuna issue ilikuwa inanisukumia porini bhana,...