The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,540
hatuuzi ndizi siku hizi
mnauza bangi
shemej nimetaman jaman nasisi tuunde wing yetu nataman tuonane i love you i ilove you i love youuuuu mwaaaaaaahNimewapenda sana kwa jinsi mlivyo na msimamo na Wing yenu.
Hakika nimejifunza vitu vingi toka kwenu.
Mzee wa Rula, PakaJimmy, Arushaone, Philipo, Tonykp, LiverpoolFC, mkiva... Preta, @Blakiwomani, Cantalisia, Lily Flower......nawapenda sanaaa.
IGWE....ulikuwa na haraka ya nini bhanaaaa!!!!
Nimepapenda sana The Narok.
Live Band.....tulikula na kula kwa furaha.
Nawapenda sana.
TUTAKUTANA SAFARINI MWANZA.
Mmmwwwahhhhhh....!!!!!!!
mkiva.....miss sana wewe.
.... nawapenda sanaaaa.
Shivas tena......au Mrina......
hivi kuna sehemu inaitwa mrina si ni jina la ukoo wa mtu hapa jf ?
njiro .................
hahahaaa msamehe bure maana akili yake yote ilikuwa kwa kichuna wake Ladymasa akasahau mabeste zake
Boogalooo.....Lilikuwa group la wadada sita na jamaaa mmoja......jumamosi jioni......mh sijui huko sina uhakika
Una kaka ladyfurahiambona hajaniambia kama kaja huku?
yaani hata dadayake anashindwa kumwambia
hilo? sasa hapa nina kaka au nina nani cousin?
njoo basi Mwanza......tule raha...........
Boogalooo.....Lilikuwa group la wadada sita na jamaaa mmoja......jumamosi jioni......
Una kaka ladyfurahia
mkuu.....mbona unaranduka sana.........dah.....
Boogalooo.....Lilikuwa group la wadada sita na jamaaa mmoja......jumamosi jioni......
Nimewapenda sana kwa jinsi mlivyo na msimamo na Wing yenu.