Asanteni Crew nzima ya wana Arusha-Wing....narejea Dar.

Asanteni Crew nzima ya wana Arusha-Wing....narejea Dar.

Biere niliacha siku nyingi sana mkuu! Suala la msingi hapa ni kuwa unamuuliza Pilot wa Precisionair eti ndizi bei gani.. Swali la Bishanga sio Preta.

Kwani pilot hali ? Afu unajifanya kuruka viunzi eti ? Umeacha laga!
Ok achana na laga, Nina hakika wewe huuzi mchele !
Bei ya mchele huijui per 1 kg ?
 
Last edited by a moderator:
wee tena nilivyoipata kwa tabu sithubutu mimi kutoa siri za kazi.

Basi, kamatia hapo. Eti Preta anasema hakukuona while wewe ndio uliyekuwa unaelekeza pa kupark magari, mbaya zaidi hata ile buku 5 aliyokupa hakukujua!
 
Last edited by a moderator:
Basi, kamatia hapo. Eti Preta anasema hakukuona while wewe ndio uliyekuwa unaelekeza pa kupark magari, mbaya zaidi hata ile buku 5 aliyokupa hakukujua!

ndo hata mimi nimeshangaa bora na wewe unisaidie kumkumbusha.
 
Last edited by a moderator:
Safari Njema ilikuwa poa kukufahamu.......cya
 
Daaah! Nimesikitika sana nilipoambiwa tayari umeondoka. Ndo shida ya kukaa mbali na simu. Karibu tena half london jamani. We du love you
 
Karibu sana Arusha Madame B. Tunakupenda sana. Mwanza tutaenda kuwashikaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Shem wakati wengine wakuaga huko Chuga, siye wengine twasema karibu sana Dar....sijui kama umetuletea zawadi ya baridi!!!
 
Nashukuru mungu kamfikisha salama mgeni wetu.pole sana na uchovu wa safari yako
 
Back
Top Bottom