mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 619
acha hizo basi mkiva kwani watajua banaa...
namuogopa boss siunajua tena ajira zenyewe za utata?
Last edited by a moderator:
acha hizo basi mkiva kwani watajua banaa...
MwanaJF gani yupo a-town leo tumalizie weekend.
namuogopa boss siunajua tena ajira zenyewe za utata?
Roho imeniuma ghafla, lazima nije nilipize kwa Ben Saanane hukohulo Dar
Atasubutu ?
Hudhani unamtafutia tiba iwe Apolo hosp India !
Tena akihamia huko anakuwa katibu kabisa,