Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

Shida kubwa ya nchi hii ni kutotambua kuwa ccm ni kubwa kuliko chochote kile Tanzania, hakuna taasisi inayo weza kwenda kinyume na ccm, ukienda kunyume utauliwa.

Tunahitaji mapinduzi nchini, tuna hitaji forced reforms ili kuepuka ujinga huu, otherwise hatuwezi kuwa na maendeleo.

Sisi haisikilizi wananchi, utendaji mbovu, hii yote wana jua silaha yao kubwa ni kupora ushindi kwa njia yeyote, hivyo Tanzania kuendelea kuwa masikini.

Tunahitaji reforms ili tuwe na effective Government ambayo inaogopa kuwa tusipofanya kazi kwa bidii kuleta maendeleo tuta pigwa chini na chama kingine kuingia madarakani.

Shida kubwa ni sisi wananchi, tumeambiwa mara nyingi kuwa achaneni na hizi chaguzi tupiganie katiba na tume uchaguzi, hata kama itatuchukua karne, kuliko kubariki chaguzi haramu baadae tunaumia miaka yote.

Tuweke vyama pembeni tupiganie maslahi ya Taifa, hatuwezi kuweka viongozi madarakani ambao kazi yao ni kukaa tu kusubiri uchaguzi waibe waendelee kukaa madarakani.
 
Wengine Imani zetu tunafundishwa sana kuhoji.
Hapa sijaelewa naomba kuhoji.

Kwani hii nchi tunafanya E.voting ?

Kama hatufanyi E.Voting nataka kujua mfumo wa NIDA unawasaidia vipi CCM kwenye hili ?
The same na mfumo wa iNEC unawasaidia vipi CCM katika hili ?

Kingine Vodacom Tanzania wana access ya mfumo wa NIDA, Yas wanae access, Azam wanae access na Taasis nyingi nchini zinae access, kama kuwa na access ya NIDA kwaweza saidia kwenye uchaguzi, Vyama vingine vimeomba hiyo access vikanyimwa ?
Aliyesema alikuwa jikoni, mpishi anakuambia kile chakula ulichokula tulipikia maji machafu ndo maana baadhi ya memba wa familia waliharisha , Sasa una bisha nini alieandaa chakula ndo anasema hivyo wewe utabishana nae?
 
mkuu kama wewe umeamua kushabikia Chadema usilazimishe na wengine, ni chaguzi ngapi CHadema imeshashiriki? Je tume ilikuwa ina otafauti gani na hii? je nawao walikuwa project?
Pumbavu wewe, unauliza swali gani hili..?

Kama CHADEMA imeshiriki chaguzi 20 ndio inaondoa uharamu na uhaini dhidi ya wananchi wa Tanzania unaofanywa na CCM na genge lao la wahuni wakiongozwa na Samia..??

Stop being stupid idiot...
 
mbona mimi niko timamu na lazima octber nikatiki. Halafu akili timamu inapimwa na IQ au ufaulu darasni. Kumbuka prof kabudi alikuwa na first class udsm na mhongo alikuwa na first class lakini wote watatick october. Sasa wewe mwenye div four form four ndo unajiona unaakili?
Bora huyo raia wa kawaida ni div four form 4, hebu imagine sa100 ni ana zero form four...itakuwaje akiwa rais si majanga mkuu?!.
 
Polepole ni tapeli tu kama alivyokua freman mbowe ukiwa na akili ndogo unaweza ukaona km ni watu wa maana ila km una akili timamu bas utajua tu polepole ni tapeli mwingne wa kisiasa na anatumika na Ccm

Kwa alichosema sizan km kuna kitu kipya kaongea ambacho mtu mwenye akili timamu hajawai Kukisikia ama kuhisi

Wizi wa kula ni kitu ambacho kila mtanzania mwenye akili timamu anajua
Vyama vya siasa vingi ni Ccm b ni kitu ambacho kinajulikana siku zote labda km ndo umeanza kufatilia siasa juzi

Mbowe,Mpina, wale covid, wote hao ni baadhi tu ya watu wa ccm walonivisha uwana mapinduzi
Wew hujamu we lewa wew ni ngumu kuelewa sijawai sikia vitu ambvyo kaongea
 
Na hawana wasiwasi, wanajua kwa waTanganyika hawa, kesho tu washasahau.
 
Wanasiasa wote ni walewale tu. Harakaharaka nae ni mwanasiasa.
 
Bora huyo raia wa kawaida ni div four form 4, hebu imagine sa100 ni ana zero form four...itakuwaje akiwa rais si majanga mkuu?!.
Ndo mana nchu inaipaisha kimaendeleo. Utalii ulikuwa umeshakufa lakini chini ya samia mahotel arusha yamejaa mpaka wanaswma vyumba havipo kwa wengine. Nenda arusha umseme mama vibaya uone mzuliki wake. Nenda mtwara umseme mama vibaya uone mziki wake (kilimo.cha korosha kimestawi na masoko kila kona ya dunia hii) Nenda singida umseme mama vibaya uone mziki wake ( wahindi wamerudi kununua mbaazi zao) walikimbia kipindi cha jpm
 
mkuu kama wewe umeamua kushabikia Chadema usilazimishe na wengine, ni chaguzi ngapi CHadema imeshashiriki? Je tume ilikuwa ina otafauti gani na hii? je nawao walikuwa project?
Chadema imeingiaje hapa? Polepole kakuambia hivi, "siku ya uchaguzi lala"
 
Aliyesema alikuwa jikoni, mpishi anakuambia kile chakula ulichokula tulipikia maji machafu ndo maana baadhi ya memba wa familia waliharisha , Sasa una bisha nini alieandaa chakula ndo anasema hivyo wewe utabishana nae?
Hilo jambo haliwezekani.
Alichokiongea nae tulimuamin km kiongozi anathibitisha hii nchi inaongozwa na watu wenye IQ ndogo sana hvyo kupata general knowledge ya vitu kwao inakuwa ngumu.

Kura zinapigwa kwa karatasi NIDA itakusaidia.

Labda kidg mfumo wa iNEC waweza saidia kufahamu idadi ya watu waliojiandikisha kupiga kura tawi fulani hivyo zitengenezwe kura fekii kulingana na idadi.
Ambapo tunarudi kule kule kwa wizi wa kura tuliouzoea ila kwa mifumo anatudanganya kabisaaa
 
Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki.

Huu ujumbe wa Polepole uwafikie hata wanaCCM weweze kutafakari, waone kuwa wao wapo mle ndani ya chama kama rubber stamp tu ya kuwezesha ulaji wa wachache walioshika dola.Inabidi na wao wakasirike, waache kutumika kwa kanga, vitenge na baiskeli. Hili ni jambo kubwa, ni jambo zito.

Alichosema Polepole kinaupa uhalali msimamo wa NO REFORMS NO ELECTION wa CHADEMA. Utashirikije uchaguzi wakati tayari CCM ina connection kwenye taarifa za mpiga kura ndani ya iNEC?.
Ewe mwanaACT wazalendo, jitafakari uone kuwa kumbe hicho chama ulichomo ni project za watu ili kurahisisha waanzilishi wake kula pesa za wananchi kwa kufanya udalali wa Siasa?
Na kwako ewe Mtanzania. utapotezaji muda kushiriki chafuzi?.

Polepole leo kazungumza jambo zito sana, Hili jambo alilosema Polepole lisingefanikiwa kama Usalama wa Taifa ungelizuia, Kama haijalizuia maana yake ni kuwa hata Taasisi ya Usalama nayo imetumika kwenye kutengeneza mifumo feki ya siasa katika nchi hii. This is wrong!.

Asante sana Polepole kwa kulisanua hili jambo!
Umetimiza wajibu wako kwa Taifa.
Hi ni kweli maana hata mwaka 2015 uchaguzi wa wakati huo wanachama wa CDM Wataalum walikamatwa na mifumo yao ya computer kwenye jengo la mile niambie tower wakiwa na mifumo wa kujumuisha kuraa so hili ni kweli na hii ilikuwa kuwazuia wasiwe na majumuishho maana ccm wanajua
 
Ndiyo maana yake mkuu, ile idadi ya wapiga kura m 37 ni idadi ya Watanzania wote ambao wamefikisha umri wa kupiga kura na chimbo la kupata idadi hiyo ni NIDA hivyo tayari kura yako iko kwenye server za INEC na umemchagua Samia kuwa Rais wa Tanganyika tayari.
Tufanye nini kurekebisha hii hali mkuu?
 
Back
Top Bottom