Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki.

Huu ujumbe wa Polepole uwafikie hata wanaCCM weweze kutafakari, waone kuwa wao wapo mle ndani ya chama kama rubber stamp tu ya kuwezesha ulaji wa wachache walioshika dola.Inabidi na wao wakasirike, waache kutumika kwa kanga, vitenge na baiskeli. Hili ni jambo kubwa, ni jambo zito.

Alichosema Polepole kinaupa uhalali msimamo wa NO REFORMS NO ELECTION wa CHADEMA. Utashirikije uchaguzi wakati tayari CCM ina connection kwenye taarifa za mpiga kura ndani ya iNEC?.
Ewe mwanaACT wazalendo, jitafakari uone kuwa kumbe hicho chama ulichomo ni project za watu ili kurahisisha waanzilishi wake kula pesa za wananchi kwa kufanya udalali wa Siasa?
Na kwako ewe Mtanzania. utapotezaji muda kushiriki chafuzi?.

Polepole leo kazungumza jambo zito sana, Hili jambo alilosema Polepole lisingefanikiwa kama Usalama wa Taifa ungelizuia, Kama haijalizuia maana yake ni kuwa hata Taasisi ya Usalama nayo imetumika kwenye kutengeneza mifumo feki ya siasa katika nchi hii. This is wrong!.

Asante sana Polepole kwa kulisanua hili jambo!
Umetimiza wajibu wako kwa Taifa.
ccm kweli ma K
 
Kama Kenya kama huku ninakazia:

IMG_20240428_070927.jpg
 
Hii kikaragosi inaitwa J4 Mulilo unasema "masanduku ya kura yatalimdwa na kusindikizwa kwa nguvu kubwa" idiot!

Unasindikiza makaratasi wakati NIDA wameishapiga Kura kwa CCM kwa kutumia vitambulisho vyeti na kisha CCM wameishatuma Kura INEC tangu juzi!
Anajua anachosema, analinda tumbo lake tu.
 
Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki.

Huu ujumbe wa Polepole uwafikie hata wanaCCM weweze kutafakari, waone kuwa wao wapo mle ndani ya chama kama rubber stamp tu ya kuwezesha ulaji wa wachache walioshika dola.Inabidi na wao wakasirike, waache kutumika kwa kanga, vitenge na baiskeli. Hili ni jambo kubwa, ni jambo zito.

Alichosema Polepole kinaupa uhalali msimamo wa NO REFORMS NO ELECTION wa CHADEMA. Utashirikije uchaguzi wakati tayari CCM ina connection kwenye taarifa za mpiga kura ndani ya iNEC?.
Ewe mwanaACT wazalendo, jitafakari uone kuwa kumbe hicho chama ulichomo ni project za watu ili kurahisisha waanzilishi wake kula pesa za wananchi kwa kufanya udalali wa Siasa?
Na kwako ewe Mtanzania. utapotezaji muda kushiriki chafuzi?.

Polepole leo kazungumza jambo zito sana, Hili jambo alilosema Polepole lisingefanikiwa kama Usalama wa Taifa ungelizuia, Kama haijalizuia maana yake ni kuwa hata Taasisi ya Usalama nayo imetumika kwenye kutengeneza mifumo feki ya siasa katika nchi hii. This is wrong!.

Asante sana Polepole kwa kulisanua hili jambo!
Umetimiza wajibu wako kwa Taifa.
Napata wapi video mkuu
 
Polepole ni tapeli tu kama alivyokua freman mbowe ukiwa na akili ndogo unaweza ukaona km ni watu wa maana ila km una akili timamu bas utajua tu polepole ni tapeli mwingne wa kisiasa na anatumika na Ccm

Kwa alichosema sizan km kuna kitu kipya kaongea ambacho mtu mwenye akili timamu hajawai Kukisikia ama kuhisi

Wizi wa kula ni kitu ambacho kila mtanzania mwenye akili timamu anajua
Vyama vya siasa vingi ni Ccm b ni kitu ambacho kinajulikana siku zote labda km ndo umeanza kufatilia siasa juzi

Mbowe,Mpina, wale covid, wote hao ni baadhi tu ya watu wa ccm walonivisha uwana mapinduzi
 
Usalama wa taifa wenyewe wamejazana ma-ccm kibao, hii nchi inahitaji kufanyiwa mabadiliko kwakweli.
 
Sisi tusio na Kitambulisho cha kupiga kura lakini tuna NIDA, usikute tumeshashiri chaguzi zote zilizopita bila kujua...

"Kura" zetu zilitiki CCM na wamba wakashinda dadadekiiii
Ndiyo hivyo mkuu. Mimi niliwahi kushuhudia watoto wa secondary under the age of 18 taarifa zao zinachukuliwa kwa ajili ya daftari la wapiga kura
 
Ndiyo maana yake mkuu, ile idadi ya wapiga kura m 37 ni idadi ya Watanzania wote ambao wamefikisha umri wa kupiga kura na chimbo la kupata idadi hiyo ni NIDA hivyo tayari kura yako iko kwenye server za INEC na umemchagua Samia kuwa Rais wa Tanganyika tayari.
Hii system ilifanyika hata kwenye uchaguzi wa 2020. Anyway kwa sababu H.polepole ameomba msamaha niishie hapo.
 
Hii episode ya Polepole ya jana, itakuwa hai siku mpaka tupate mabadiliko ya kweli ya nchi yetu kwenye suala la uchaguzi. Kinyume cha hapo chaguzi hazina maana, hakuna mwananchi atakayezichukulia serious. Nchi itawekwa mikononi mwa wahuni siku zote. Usalama wa Taifa utadharaulika na kuonekana bogus wasioweza kulinda usalama hata wa kata.
Kiufupi alichokisema Polepole ni chachu ya mabadiliko ili kutengeneza Taifa la haki.

Viogozi wa dini acheni kupoteza muda kuombea uchaguzi, hatuna uchaguzi pale tuna kiini macho-Polepole
 
Polepole ni tapeli tu kama alivyokua freman mbowe ukiwa na akili ndogo unaweza ukaona km ni watu wa maana ila km una akili timamu bas utajua tu polepole ni tapeli mwingne wa kisiasa na anatumika na Ccm

Kwa alichosema sizan km kuna kitu kipya kaongea ambacho mtu mwenye akili timamu hajawai Kukisikia ama kuhisi

Wizi wa kula ni kitu ambacho kila mtanzania mwenye akili timamu anajua
Vyama vya siasa vingi ni Ccm b ni kitu ambacho kinajulikana siku zote labda km ndo umeanza kufatilia siasa juzi

Mbowe,Mpina, wale covid, wote hao ni baadhi tu ya watu wa ccm walonivisha uwana mapinduzi
Utapeli wake nimeupenda maana umedhihirisha kuwa ACT na CHAUMA ni side chicks wa CCM na Mwingira nguvu upande wa NRNE
 
Back
Top Bottom