Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,817
- 62,027
Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki.
Huu ujumbe wa Polepole uwafikie hata wanaCCM weweze kutafakari, waone kuwa wao wapo mle ndani ya chama kama rubber stamp tu ya kuwezesha ulaji wa wachache walioshika dola.Inabidi na wao wakasirike, waache kutumika kwa kanga, vitenge na baiskeli. Hili ni jambo kubwa, ni jambo zito.
Alichosema Polepole kinaupa uhalali msimamo wa NO REFORMS NO ELECTION wa CHADEMA. Utashirikije uchaguzi wakati tayari CCM ina connection kwenye taarifa za mpiga kura ndani ya iNEC?.
Ewe mwanaACT wazalendo, jitafakari uone kuwa kumbe hicho chama ulichomo ni project za watu ili kurahisisha waanzilishi wake kula pesa za wananchi kwa kufanya udalali wa Siasa?
Na kwako ewe Mtanzania. utapotezaji muda kushiriki chafuzi?.
Polepole leo kazungumza jambo zito sana, Hili jambo alilosema Polepole lisingefanikiwa kama Usalama wa Taifa ungelizuia, Kama haijalizuia maana yake ni kuwa hata Taasisi ya Usalama nayo imetumika kwenye kutengeneza mifumo feki ya siasa katika nchi hii. This is wrong!.
Asante sana Polepole kwa kulisanua hili jambo!
Umetimiza wajibu wako kwa Taifa.