Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

Muheshimu sana mwanamke wako, mthamini utaipenda dunia , hata dunia nzima ikutenge, atasimama na wewe.
I am currently doing this and I will keep doing it. Thanks mkuu, much respect to you
 
Dah bro! Barakallah lakumaaa. Nina mmanga wangu mama yake asli ya Yemen wa kule Mwanza....anasoma pia medical college.....ana dini mpaka najihisi mi simfai. Sijawahi mgusa. Tuliwahi kuhug tu. Allah anibariki nimuoe.
Aamyn aamyn! Just concentrate on remaining in a right way! kama unahitaji mtke/mume bora basi hakikisha wewe unakuwa bora
 
Ku assess uimara wa ndoa au tabia ya mke, things change people change.

Asubir subiri kwanza
Let him appreciate her, there is no point ya kuishi na mtu kwa machale, usubiri hadi miaka 10+ ndo uanze kumuamini.. Amini tu katika kile anachokuonyesha mwenzio kwa wakati huo. Kuna watu kibao ndoa zao zilifail zikiwa na siku, weeks, months and few years; watu walishindwa kuvumiliana. Yes mtu yeyote anaweza badilika anytime, ila ni vyema tuishi na wenzetu in a +ve way, tusiwawazie mabaya kama hawajatuonesha mabaya yoyote.

Kuna watu wanashindwa kuappreciate wake zao sasa hivi, wanasubiria hadi wafikishe 10+ years, unashindwa kuenjoy your today kwa sababu ya kuhofia 10 years to come. Hata maisha ya kawaida yanabadilika kila siku ila hatujawahi kuacha kuyafurahia tukiassume yatakuwa worse huko mbeleni. Hata kama ndo ndoa ina siku moja, just appreciate your wife, sio ndoa zote zitafikisha hiyo miaka mingi. Ishi siku moja ya ndoa yako as if haitotokea mkaiishi tena
 
Na appriciate anacho kifanya nime furahi kuna watu at least wana enjoy ndoa

Ila nlikuwa nataka asi overreact meli haojang'oa nanga muda mrefu. Tunakumbushana tuu. I hope atafika mbali
 
Muache tu ajimwaye mwaye. Tujifunze kuwazia na kuwanenea wenzi wetu mazuri, na ndivyo itakavyokuwa sawasawa na nguvu ya maneno yetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom