Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

Dah bro! Barakallah lakumaaa. Nina mmanga wangu mama yake asli ya Yemen wa kule Mwanza....anasoma pia medical college.....ana dini mpaka najihisi mi simfai. Sijawahi mgusa. Tuliwahi kuhug tu. Allah anibariki nimuoe.
Khaa ngoja na mim niende mwanza nikatenge
 
Nakushauri usioe wa pili hold her tight mpende yeye tuu najua dini inaruhusu ila hata kua nae yeye pekee dini pia inaruhusu kwa kizazi tulicho nacho wake wadogo watakutesa/stress kwenye jamii yangu nimeona watu wanao oa wake zaidi ya m1 kunakuwa na mivutano baada ya mzee kufariki sasa for the better destiny with u'r wife u'r children and family in general hold her tight mpende sana mtunze yeye na wana atakao pata kama Baraka kukoka kwa mwenyezi

Uko na bahati sana man
Thanks mkuu! will take this into consideration
 
  • Thanks
Reactions: a45
Back
Top Bottom