Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

Mkuu shemeji yenu amejifungua tayari. It's a baby boy ila wife yupo kwenye maumivu sana.Muda huu najiandaa kuelekea hospital again maana saa kumi na moja walitutoa manesi
Maumivu ni kawaida hasa kama amejifungua kwa kisu. Yatapungua taratibu hadi siku tatu-tano ataruhusiwa kurudi nyumbani
 
Sasa mzee mwezangu miaka mi3 tu Mimi nilikaa na miaka 6 mwisho wa siku akazingua endelea kumuomba mungu ila ujue kabisa mwanamke ni bomu muda wowote linakulikupia
Mkuu nipingane na wewe hapa! We should never have that kind of mentality mkuu
 
Muheshimu sana mwanamke wako, mthamini utaipenda dunia , hata dunia nzima ikutenge, atasimama na wewe.
 
Dah bro! Barakallah lakumaaa. Nina mmanga wangu mama yake asli ya Yemen wa kule Mwanza....anasoma pia medical college.....ana dini mpaka najihisi mi simfai. Sijawahi mgusa. Tuliwahi kuhug tu. Allah anibariki nimuoe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom