D
Deleted member 485868
Guest
Na hao wajawo kuwapata wema ni 1 kati ya 20...wengi hao wanaingia kwenye ndoa kwa zumuni la kujionyesha wao ni bora kuliko waliowakuta..ndio maana mwisho wa siku mwanaume akiwa anafanya usawa hawa wadogo wanaongeza dawa..ili mkubwa aonekane si kitumke mkubwa ana imani, moyo wake bado una mapenzi kwa mumewe jaman ndoa za wake wenza zioneni tu hakuna kitu kigumu kama kujua unashare maumbile ya mume wako na mwanamke mwengine japo dini inaruhusu lakini aisee bora awe mwema huyo mke ajaye
Kama ningekua kwenye dini yako madame s na ikatokea mke mdogo ameingia na hana adabu nisingemkawiza..ningemnyoosha kisawasawa
