Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

I agree, I agree!! Ntaendelea kufanya hivyo mkuu! Amenipa rukhsa ni bora nioe mke wa pili kuliko kuzini, sasa hao wake wa pili hao, jitu unalitongoza linakwambia utanijengea nyumba kama mkeo??
Nakushauri usioe wa pili hold her tight mpende yeye tuu najua dini inaruhusu ila hata kua nae yeye pekee dini pia inaruhusu kwa kizazi tulicho nacho wake wadogo watakutesa/stress kwenye jamii yangu nimeona watu wanao oa wake zaidi ya m1 kunakuwa na mivutano baada ya mzee kufariki sasa for the better destiny with u'r wife u'r children and family in general hold her tight mpende sana mtunze yeye na wana atakao pata kama Baraka kukoka kwa mwenyezi

Uko na bahati sana man
 
Let him appreciate her, there is no point ya kuishi na mtu kwa machale, usubiri hadi miaka 10+ ndo uanze kumuamini.. Amini tu katika kile anachokuonyesha mwenzio kwa wakati huo. Kuna watu kibao ndoa zao zilifail zikiwa na siku, weeks, months and few years; watu walishindwa kuvumiliana. Yes mtu yeyote anaweza badilika anytime, ila ni vyema tuishi na wenzetu in a +ve way, tusiwawazie mabaya kama hawajatuonesha mabaya yoyote.

Kuna watu wanashindwa kuappreciate wake zao sasa hivi, wanasubiria hadi wafikishe 10+ years, unashindwa kuenjoy your today kwa sababu ya kuhofia 10 years to come. Hata maisha ya kawaida yanabadilika kila siku ila hatujawahi kuacha kuyafurahia tukiassume yatakuwa worse huko mbeleni. Hata kama ndo ndoa ina siku moja, just appreciate your wife, sio ndoa zote zitafikisha hiyo miaka mingi. Ishi siku moja ya ndoa yako as if haitotokea mkaiishi tena
You said it all, won't add a damn word
 
Na appriciate anacho kifanya nime furahi kuna watu at least wana enjoy ndoa

Ila nlikuwa nataka asi overreact meli haojang'oa nanga muda mrefu. Tunakumbushana tuu. I hope atafika mbali
Hahahahhahaha! mkuu I have all the rights to overreact! Kuna baadhi ya meli tulishuka kabla hatujapanda mzee, let me sail far far far away from the fear of unknown with this beautiful creature! pamoja sana mkuu
 
Hahahahhahaha! mkuu I have all the rights to overreact! Kuna baadhi ya meli tulishuka kabla hatujapanda mzee, let me sail far far far away from the fear of unknown with this beautiful creature! pamoja sana mkuu
You have the right to react not over-react
Hapo.ndio tunapishana

Ila kila la kheri
 
Back
Top Bottom