Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

wewe kama haujaoa oa bhana usitafutie kisingizio.

Utapata Thawabu mbele za Bwana hata kitanda unacholalia na huyo Mwanamke kitabarikiwa. acha zinaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi bado kidogo ndugu

Ntaoa with 6 yrs
 
unaona sasa. nyie ndiye mnaosomesha watoto wa watu degree za atomic miaka 7 ya Uchumba.
daah.
Hahaha
Mbona AY alikaa miaka 10 bro

Malengo tuu yakiwa intact hamna shda
 
Huyu ndo mwanamke ambaye ata ukimcheat roho itakusuta sana
Kabisa mkuu, you can't believe sometimes nikifanya blunders zangu akikasirika naumia kabisa moyoni. Na hapo ndio na-realize how much I love her
 
Kuna family frnd flani hivi..kuna huyo kaka ana mke ..tena mahusiano yao yalikua yale yakuanzia chini kabisa yani mwanaume hakua na kitu..wakapambana hadi wakawa na uchumi mzuri..wakajenga mijengo ya maana magari ya kifahari..sasa bahati mbaya yule mwanamke hazai..Baba wa yule kaka akaamua amtafutie kijana wake mke mdogo..mke mkubwa akaruhusu..yule kaka akaoa baada ya muda mke mdogo akaleta kidume..kazi ndipo ilipoanza sasa..nayeye akajengewa nyumba..ikanunuliwa gari kwa ajili ya mtoto .

Yote hayo mke mkubwa alikua anayaruhusu yeye..akazaliwa wa pili nae kidume..yule mke mdogo akaanza vitimbwi matusi na kashfa kwa mke mkubwa..mume nae hakawa haambiliki wala hashikiki..yule mke mkubwa alikonda na kupauka juu..mwanaume anaweza maliza hata miezi miwili kwa mke mdogo na siku akienda kwa mke mkubwa ujue basi yule mke mkubwa ataoga matusi hatari

MUNGU SI ATHUMANI jamani..yule kaka sasa hivi ni wa ovyo ovyo..kazini anayumba..na ninavyokuambia juzi tu ametoka kutolewa dhamana polisi

Mke mkubwa bado yupo tu na yeye ndie aliekua anashughulikia kesi ya Mumewe
Duh! Mungu atustiri aisee
 
Dear, nakubaliana nazo sana sana, siwez acha mume wangu azini nje et kisa sitak kuolelewa mwenzangu dini inaruhusu aoe ila tu uwezo wake wa kutuhudumia awe anao sio akaoe aanze mateso kwangu japo baada ya muda ndoa itaanza kuyumba tu
Tatizo ni kwamba sisi wanaume tunakosea sana. Ili uoe mke wa pili ni lazima kuwe na sababu zinazokubalika kisheria aisee, sasa sisi hatujali hizo.
 
Vipi hujatupa mrejesho wake wa kujifungua
Mkuu shemeji yenu amejifungua tayari. It's a baby boy ila wife yupo kwenye maumivu sana.Muda huu najiandaa kuelekea hospital again maana saa kumi na moja walitutoa manesi
 
unaweza kuwa mke mwema msafi very innocent!..ngj nikufupishie mahesabu!km wajitambua ww ni inocent dada,hujui kucheat,mpenzi ulonaye ndo huyo huyo huna mzuka na men mwingne!!!!!bas tegemea magic kwenye ndoa yako!
yaan Mungu atakuletea mume wa majaribu kweli kweli !weka akilin hyo!LABDA AJITAMBUE KUWA NIMEPATA MKE MWEMA WALAU AFAKE KM huyu mtoa mada !la sivo!!!!!!!!!!!!!! usidhan wake wema hawapo !wapo sana ILA INAFIKIA KIPINDI UNAJICHOKEA TU!
I guess you are having a sad story Mbiti, some comments of yours indicate that you are a very good woman but the guy is letting you down every now and then
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom