Asante Mungu. Alhamdullah


should have to thank ur wife and her midwifery to ur kid life..
 
Hongera lkn hapo kwenye red ndo umeharibu! Mpaka afikie umri wa kutambua mema na mabaya hakutakuwa na kitu inaitwa ccm, labda ataisoma kwenye historia. Mama naye hajambo?
cabhatica
Nashukuru sana.

Kuhusu ccm kufa ni jambo lisilowezekana.
 
Last edited by a moderator:

hongera sana Mzee
huyo atakua mkwe wangu!!
 
Last edited by a moderator:
Mpe mama hongera sana, Mzee hongera sana kwa kupata baby girl.
 
Last edited by a moderator:
^^
Mungu akuzidishie uthabiti uwe baba mwema
^^
 
Mzee hongera sana
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana baba mtoto afu umefanya la mana saaana kumkatia KADİ YA CCM tunamkaribisha UVCCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…