Habari za hapa Jamvini.
Namshukuru muumba wa mbingu na arthi, mke wangu kipenzi, wardi la moyo wangu, amejifungua leo mtoto wa kike.
Kwa wale ambao bado hawajaoa dirisha liko wazi kufanya "booking".
Tafadhali weka Neno moja la kumtakia kila la jheri ktk hii dunia iliyojaa stress.
NB.
Nimeshamkatia KADI ya Chama Cha Mapinduzi CCM
Asanteni sana.

Heaven on earth Asante sana.hahaaa Mzee hongera sana.....
kuitwa baba nako kuna raha yake....
kuna mtu alisema mchumba wake bado hajazaliwa
nadhani ndo huyo umemletea ashindwe mwenyewe
kuweka booking mapema!!!!!!!!!!!!!!!!!!!