Asante Magufuli, sasa umetukumbuka Rungwe, Mbeya

Asante Magufuli, sasa umetukumbuka Rungwe, Mbeya

Una tatizo fulani akilini, na sijalielewa, inaweza kuwa small brain, zika effect.

Kwa taarifa yako kama hujui, Rungwe was(and still is) , a strong CCM base kwa miaka mingi.
Kaja Mwinyi, aliahidi barabara za Tukuyu~Masoko ~Ipinda, na Mbambo~Lwangwa~Masebe~Katumba, 30 years ago.
Nothing happened.

Kaja Mkapa naye kaahidi hivyo hiyo.
Nothing happened.

Kaja Kikwete naye, maneno mengi ya ahadi.
Nothing happened.

Kaingia Magufuli, vijana mliozaliwa majuzi mlianza kukata tamaa.

Magufuli ameanza kutekeleza ahadi zilizowashinda wengine.

We unasema its not a big deal!
Kama huna zika basi you cant reason beyond your nose.
Zaidi ya kunisingizia ugonjwa ambao sina , hakuna kipya kwenye andiko lako , ulitakiwa ufahamu tangu awali kwamba nguzo kuu ya ccm ni umasikini unaowazungukeni , wametumia hiyo kwa miaka mingi na bado wataendelea kuwadanganyeni tu , huna haja ya kupiga magoti kwa ajili ya vitu unavyostahili .

IMG-20180807-WA0008.jpg
 
View attachment 944934
Mkuu if your thinking is equal to a zika impaired person, then without knowing it, you must have zika.
Your argument proves it.
 
Mkuu if your thinking is equal to a zika impaired person, then without knowing it, you must have zika.
Your argument proves it.
ni dhahiri umeshindwa hoja , hapa jf usitegemee mtelezo , ukiweka hoja yoyote ni lazima itachambuliwa tu , hatuwezi kukuacha hivi hivi tu , kama hupendi usiweke mabandiko ya kishamba hapa .
 
Sikudhani kama we jamaa ni mnyonge kjijinga namna hii , maendeleo ni haki yenu ya msingi na wala si fadhila za mtu yeyote , huna haja ya kugalagala chini ili kushukuru , huyu unayemshukuru muda wake ukifika ataondoka lakini Rungwe itabaki ,
Hii ni habari mbaya sana kwa chadema
 
Sugu kwisha habari yake

Kila akipewa hela ya mfuko wa jimbo anatafuna tu hela kwenye kihoteli chake uchwara, badala ya kuwaletea maendeleo wananchi
inaelekea hata mbeya hujawahi fikaaa yani... bogus...
 
Kauli za nchi imemshinda huwa mnazitoa kwa misingi ipi?Kwanini akifanya vizur mnapata kigugumiz cha kupongeza?
Ushawahi mpongeza baba ako kwa kukulipia ada na kukupa huduma zote toka amekuzaa?
 
ni dhahiri umeshindwa hoja , hapa jf usitegemee mtelezo , ukiweka hoja yoyote ni lazima itachambuliwa tu , hatuwezi kukuacha hivi hivi tu , kama hupendi usiweke mabandiko ya kishamba hapa .
FACT !
Tenda ya barabara imetangazwa, appended
FACT2
Imefanywa na serikali chini ya Magufuli
FACT3
Hauna rais mwingine amefanya hivyo kule Rungwe isipokuwa Mwalimu Nyerere, barabara ya Kyela-Uyole
FACT4
Kama huelewi huo mlolongo wa argumeo, inaelekea ni kweli zika inakusumbua, kama mtoa mada anavyosema
 
Mkuu huna haja ya kubishana na mtu mwenye zika.
Anatazama lakini haoni wala ku reason.
 
ni dhahiri umeshindwa hoja , hapa jf usitegemee mtelezo , ukiweka hoja yoyote ni lazima itachambuliwa tu , hatuwezi kukuacha hivi hivi tu , kama hupendi usiweke mabandiko ya kishamba hapa .
Zika haina dawa, ulizaliwa brain imeminywa na cranium, obviously you can never reason.

Hapo juu jamaa kakuwekea facts, jiridhishe kwa kujidadavulia.
 
Ushawahi mpongeza baba ako kwa kukulipia ada na kukupa huduma zote toka amekuzaa?
Ndio huwa nampongeza sana.Kila nikipata kahela nafanya kushare. Vipi we hujawahi mpongeza baba ako kwa kukulipia ada?
 
FACT !
Tenda ya barabara imetangazwa, appended
FACT2
Imefanywa na serikali chini ya Magufuli
FACT3
Hauna rais mwingine amefanya hivyo kule Rungwe isipokuwa Mwalimu Nyerere, barabara ya Kyela-Uyole
FACT4
Kama huelewi huo mlolongo wa argumeo, inaelekea ni kweli zika inakusumbua, kama mtoa mada anavyosema
Hatutakubali ujinga wenu hata mtukane uchi , endeleeni kuamini kwamba maendeleo mnayostahili ni kudura ya viongozi wakati sisi tutaendelea kuamini kwamba maendeleo ni haki ya msingi isiyostahili kulamba miguu ya mtu .
 
Hii ndo raha kutawala ngozi nyeusi miaka 3 unamtupia kabarabara safii anasahau

Ukikaribia uchaguz unachonga nyingne 1 miaka 5 imeisha anakupa kura unatembea mbele
 
jpm rais wa kila mkoa asiekuwa na ubaguzi wala asieangalia ni chama gn wapo sehemu gani, maendeleo kwake popote anapeleka. hongereni Rungwe acheni na wapiga kelele ambao hawaelewi chochote kuhusu zaid ya kuongea ujinga kila siku
 
Hatutakubali ujinga wenu hata mtukane uchi , endeleeni kuamini kwamba maendeleo mnayostahili ni kudura ya viongozi wakati sisi tutaendelea kuamini kwamba maendeleo ni haki ya msingi isiyostahili kulamba miguu ya mtu .
Imebakia tu kumshukuru Magufuli kwa kuwaletea mvua!
 
Back
Top Bottom