masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,689
- 14,701
- Thread starter
- #121
Mkuu asante kwa ku argue logically.Kwa hiyo uelewe sasa, mtu anayekuletea maendeleo na kuondoa umasikini, ni wa kumpongeza na kumshukuru.
La sivyo mtendelea kufuga Manyafu huko kwenu.
Magufuli hoyee!
Kuna watu hasa wa aina ya Erythrocyte, ambao wanafikiri siasa ni vita,
"You scratch my back, I scratch your back"
Mentality hiyo haijengi.
Mbaya zaidi katika wilaya ya Rungwe, wamezunguka Mwinyi, Mkapa na Kikwete kuombea kura wakati wakijinadi kugombea urais, barabara hizo unganishi za kwenda vijijini.
Hakuna lolote walilolifanya, na sasa basi ni uungwana kushukuru kwa yule anayetekeleza ahadi.