GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,700
- 14,641
Kwa nini watu hampendi kuelimika hata kidogo?wewe uliyeandika hivi unaweza kuwa umemaliza kidoto cha nne.unaamini mbunge anapewa pesa za maendeleo jimbon mwake so yeye ndo angejenga barabara...
Walimu kweli wamegoma kufundisha.maana watu wa kizazi hiki hawana akili na uelewa kabisa.
Walimu kweli wamegoma kufundisha.maana watu wa kizazi hiki hawana akili na uelewa kabisa.
Sugu kwisha habari yake
Kila akipewa hela ya mfuko wa jimbo anatafuna tu hela kwenye kihoteli chake uchwara, badala ya kuwaletea maendeleo wananchi