gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
shukuru pia kulipwa 25%ya mafao yako maana serikali ni hiyohiyo
Najua hupendi kusikia habari njema kama hizi. Unapenda usikie habari za kuizodowa tu serikali ya A5. Lakini utanyooka tu dada! Hapa kazi tu!Sikudhani kama we jamaa ni mnyonge kjijinga namna hii , maendeleo ni haki yenu ya msingi na wala si fadhila za mtu yeyote , huna haja ya kugalagala chini ili kushukuru , huyu unayemshukuru muda wake ukifika ataondoka lakini Rungwe itabaki ,
umejidhalilisha sana mkuu .
View attachment 943475
Kanikera kwel.Ni Tanzania pekee wanaoona kuletewa huduma ni favor na sio wajibu wa serikali.
Ulishawahi ona TRA wanakubembeleza na kukushukuru wewe kulipa kodi?
Unamshukuru kwa kukujengea barabara wakati ni wajibu wake.
Wengi wanashindwa kuelewa, Mwinyi ,Mkapa na Kikwete waliahidi hizo barabara na hakuna walichokifanya.Shukuruni kwa kila jambo hata kama ni haki yako wangapi walishindwa kukupa hiyo haki yako ushindwe kumshukuru aliyeona una haki ya kupata hicho kitu, mi nadhani watu wamezingirwa na wivu tu
Hate Magufuli, hilo ni tatizo lako la kuzaliwa.Kanikera kwel.
Watu bwana, mna roho za korosho, kushukuru nako nongwa?*ASANTE SERIKALI,sio asante Magufuli,alafu hizo sio fadhila ni haki yenu sababu mnalipa kodi.
Sugu ni mbunge wa Rungwe?Sugu kwisha habari yake
Kila akipewa hela ya mfuko wa jimbo anatafuna tu hela kwenye kihoteli chake uchwara, badala ya kuwaletea maendeleo wananchi
Mkapa alikataza habari za kusema "serikali ya Magufuli".Ni jukumu la baba kumlipia mwanae ada ya shule lakini mtoto mwenye akili akilipiwa ada lazima atamshukuru baba yake.
Acheni ujinga mleta mada yuko sahihi kushukuru.
Maadui Wa Tanzania NiSikudhani kama we jamaa ni mnyonge kjijinga namna hii , maendeleo ni haki yenu ya msingi na wala si fadhila za mtu yeyote , huna haja ya kugalagala chini ili kushukuru , huyu unayemshukuru muda wake ukifika ataondoka lakini Rungwe itabaki ,
umejidhalilisha sana mkuu .
View attachment 943475
Sugu sio wa kiwila we mbuziSugu kwisha habari yake
Kila akipewa hela ya mfuko wa jimbo anatafuna tu hela kwenye kihoteli chake uchwara, badala ya kuwaletea maendeleo wananchi
halafu kafufukia kula tango pori, mkuu.Naona umefufuka
Man hata kama ni wivu wako umepitiliza , Yani kweli Hotel Desderia useme hotel uchwara kwa mkoa kama mbeya !?Sugu kwisha habari yake
Kila akipewa hela ya mfuko wa jimbo anatafuna tu hela kwenye kihoteli chake uchwara, badala ya kuwaletea maendeleo wananchi
nadhani wewe kichwa chako sio kizuri toka lini Sugu akawa mbunge wa rungweSugu kwisha habari yake
Kila akipewa hela ya mfuko wa jimbo anatafuna tu hela kwenye kihoteli chake uchwara, badala ya kuwaletea maendeleo wananchi
Inapofika watu hawajui hata majukumu ya serekali kwa kodi wanazokusanya ni shida kuona mapungufu ya serekali kwa jamii ya namna hiiNi jukumu la serikal. Haina haja ya kumpongeza rais.. maana alipewa jukum hilo alipochaguliwa .hapo anatekeleza majukum