Sugu anahusikaje? Hata kama lingekuwa Jimbo lake si ndo angefurahi kuwa wananchi wanapata maendeleo? Nani kakwambie Sugu ni mpinga maendeleoSugu kwisha habari yake
Kila akipewa hela ya mfuko wa jimbo anatafuna tu hela kwenye kihoteli chake uchwara, badala ya kuwaletea maendeleo wananchi