mahabuba
Binam nimekumiss pia ila taratibu braza!
hehehe kimeumana mazima.... MwanajamiiOne naona uliingizwa mkenge apo
nakupenda sana my love Arushaone
Ha ha haaa....endelwa kucheka...si twa subiri harusi tukamshangae MSWATI wa UKWELI maana inteligensia unasema atakuwepo
Ujumbe huu uwafikie PakaJimmy Kaizer Mzee wa Rula Filipo Erickb52 Lily Flower KOKUTONA Dark City na watu8.
anasema anacheka hazungumzi kiupana
Achana na MwanajamiiOne mipango yetu ni ya muda mrefu sana hata KOKUTONA, Mzee wa Rula na ba'mkwe Mtambuzi anajua!