Arushaone

Arushaone

Last edited by a moderator:
Heheh...mi nishaifanya skrini seva hiyo makitu...

1252362255-king-mswati-selects-a-wife134771_134771.jpg
 
Leo mmeniwezea hasa! Nimecheka mpaka mbavu zauma!

Ha ha haaa....endelwa kucheka...si twa subiri harusi tukamshangae MSWATI wa UKWELI maana inteligensia unasema atakuwepo
 
Leo mmeniwezea hasa! Nimecheka mpaka mbavu zauma!

Ndo ukimaliza kucheka Arushaone uje uchukue mahari yako ulomhonga babangu Mtambuzi siku ile. Maana kama ndo design zako mie si utanifanya tambara la deki, maana kwa hao niwaonao kwenye picha siwafikii hata nukta. Mwe..................... Ngoja nijirudie zangu kwa Kaizer mpenda Cheusi mangala.
 
Kaizer una bahati....!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom