Arushaone

Arushaone

Kama mke ndo huyo kwenye picha Arushaone hatamweza,mbona bonge hivo!
 
Last edited by a moderator:
Arushaone njoo bhana utupe ladha za Kwenu, vp amekuletea maujanja gani ili uwakamate vizuri?
Kaizer au m baba yuko bize anapokea ugenii?

Nimekuja!
Nilikuwa IGUNGA, nimeingia DAR asubuhi hii, naenda Arusha jioni.
 
Arushaone popote ulipo...au jirani yake tusaidieni kumpata huyu m baba afu nina wasiwasi na Kaizer maybe anajua mahali alipo au ndo best man wake hukoo..

Nilikuwa bize kidogo, niko na pacha wangu ttnapiga naye b/fast.
 
Ndo ukimaliza kucheka Arushaone uje uchukue mahari yako ulomhonga babangu Mtambuzi siku ile. Maana kama ndo design zako mie si utanifanya tambara la deki, maana kwa hao niwaonao kwenye picha siwafikii hata nukta. Mwe..................... Ngoja nijirudie zangu kwa Kaizer mpenda Cheusi mangala.
Mungu wangu nitayapata wapi mahari ya watu wakati nishayala zamaani....
Mwaznangu mbona wanitafutia balaa mie.
Hujambo lakini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom