Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
Mimi mzima kabisa my dia. Ahsante kwa salaam.
hahaha nashkuru pia
Mimi mzima kabisa my dia. Ahsante kwa salaam.
Hahaha usijali sana...mie mzima best sijui weye!!
Umemwambia mwenyewe....Umevunja ukimya? Umefungukaaa?
ngoja tuone kwanza
atakuja tu hapa Lady doctor na uzi
wa kulalama
sijui tumpe hata wiki ngapi za matazamio.
Tufanye mwezi mmoja baada ya fungate
Kwa Lady doctor utangoja sana Mamndenyi.
amu na mimi nina hamu ujue.....:glasses-nerdy:
Orait Lady doctor ako wapi
jamani Arushaone na pacha wangu Lady doctor
wapo kwny zoezi la fungate,wanajipa maujuzi ya kukaa
huko fungateni siku ikifika
mie pia cjambo. Umenitupa
Wala sijakutupa atii...ngoja ntakutafuta PM
Ebu nchekie mambo yangu apo juu kwa mswati kiongozi
Heheh...mi nishaifanya skrini seva hiyo makitu...
Haupitwi?