Arushaone

Arushaone

Acha kupindua mada, King Mswati unahitajika hapa uje useme kama umeenda kumpokea mwenzako.
Arushaone popote ulipo...au jirani yake tafadhali tusaidieni kumpata huyu m baba....afu nina wasi wasi na Kaizer may be anajua mahali alipo au ndo best man wake hukooo....
 
Last edited by a moderator:
Douta hapo bado hujawaona festi lediz wake a.k.a saccos zake...yaani hawavai hata sidiria kila kitu hadharani...

Ndo namwambia mwanao....kiutamaduni cha wa dada na wa mama wa KWA MSWATI kuhusu mavazi ni hatari, yu kanti luku mara mbili....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom