Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
- Thread starter
- #201
.Mwaaaaaaa!!!!![]()
Yethuuuu na Mariaaaaa!!!!!!!
.Mwaaaaaaa!!!!![]()
Yethuuuu na Mariaaaaa!!!!!!!
Umesahau honey, sema Yethuu Maria na Joseph....
kuna mwanaume anahitaji mke, anaitwa Tonykp atakufaa
Namtaka wangu mwenyewe, huyo aonekana paka mapepe/macho juu kama aesabu orofaz.
dada hujambo...?mtaishia kusema tu, sie penzi letu linasonga mbele!
dada hujambo...?
Apo tutakosana mke mwenza...lol
bahati yake nimemsahau Joseph
Wallahi nimecheka mambo ya huku ndani adi wateja wananishangaa....mke mwenza bg up sana,wenye wivu wajifyatue.
Usijemsahau tena Joseph next time honey eeh!
Ok inapendeza watu wakipendana.
hahaha....... Wenye wivu nawapa ofa ya gongo kwa The secretary walau leo apate wateja
naumwa mwenzio hata gongo sipiki tena waende kwa Mamndenyi ana mvinyo wa choya (rozella)