Nimekwambia uje nikutakase kwa niaba ya kaka yangu
Says who??:banplease:
Ningali kijana utakaso atafanyiwa Lady doctor
nipo nduguyo.... hata unitafute kule pembembeni!sijambo kaka, mie kila siku nakumithi tu mwenzio
nipo nduguyo.... hata unitafute kule pembembeni!
ah... hata nikiwa sipo, ila inakuwa rahisi kujua ulinitafuta dada...kaka nkikukosa tena nitakutafuta maana nilijua na huko haupo
ah... hata nikiwa sipo, ila inakuwa rahisi kujua ulinitafuta dada...
poa....poa kaka, nitakuwa nakucheki
Leo hii unamkana unaleta ya Kapuya eh?
poa kaka, nitakuwa nakucheki
Hebu Passion Lady nipe hayo mawani ya kusomea nisome haya makitu aloandika pacha mwenzio Lady doctor kwa kabanga.
Ni kaka yake huyo mbona una wasiwasi
Hebu Passion Lady nipe hayo mawani ya kusomea nisome haya makitu aloandika pacha mwenzio Lady doctor kwa kabanga.