Miss you Chocs !
With lots of love and tender kisses .....Mwaaaaaah...
Mmmmmmmh punguza wivuuu!!adadadaddadadadaddededeki!!!!!!!!!!!!!
Ahahahahahaha...nini mama acha hizo bwana!Umesahau direction uzi wa mwenzio huu kama kweli unampenda utamwanzishia wake
Hahahahahahaha...umekuwa dalali wa namba teena.....teh teh teh
Mimi ajambo kabisaahaswaa...... Mzima lakini mke mwenza?
Hayakuhusu....mbona nyie mnacomment?
micheletz mzima wewe? Ama baada ya salamu napendakukujulisha kuwa lile pepo lako la ngono nimeanza kuliombea likutoke maana naona linakutesa sana! Ppffwwuuuuuu!!
I am here, nitafutie nami nipate wangu, nawe utakuwa shogangu wa ukwenhee huyo Arushaone ntakuachia moja kwa moja shostito!
He he heeee..