kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,644
- 19,039
ah! shemegi wasiwasi wa nini....?Hebu Passion Lady nipe hayo mawani ya kusomea nisome haya makitu aloandika pacha mwenzio Lady doctor kwa kabanga.
ah! shemegi wasiwasi wa nini....?Hebu Passion Lady nipe hayo mawani ya kusomea nisome haya makitu aloandika pacha mwenzio Lady doctor kwa kabanga.
dada bistoli ni kipimo cha kuonyesha mapenzi, au hujui dada?halahala kaka na roho zenu sitaki kesi mie
jamani kupenda raha
dada bistoli ni kipimo cha kuonyesha mapenzi, au hujui dada?
looh hapana kaka ni kipimo cha kurestishana in peace
Hebu Passion Lady nipe hayo mawani ya kusomea nisome haya makitu aloandika pacha mwenzio Lady doctor kwa kabanga.
shem usisome usije
kujipiga bastola bure
afu pacha ladydoctor acha
kumtibua shemeji!!
Afu una habari niko Kilimanjaro International Airport nakungoja tangu asubuhi sana? Habari ndio hiyo. I can't wait to see you again, nimekukosa sana mpenzi.