Arusha

Arusha

Baba V chonde chonde niambie huyu Kaizer alipo namtafuta kweli

Niliwaambia mje ofisini kwangu ukaahidi mtakuja hamkuja, kesho yake nikakuona mtaani umevaa kibwaya unashangilia baada ya kudanganywa kuwa nimepinduliwa.. Do you see that what goes round rotates!?? hahahaaa haaa , mi ndo mwenyekiti... ngoja niwasiliane nae.....leo yupo bandarini anasajili meli yake mpya...
 
Last edited by a moderator:
Baba V siku izi mchafu kama nini? siamini kama nim wewe unamwaga hayo maneno... alafu Arushaone uko wapi mpaka wageni wanasusa... hivi watu8 ungekuwa Arusha ungefanyeje maana unaona wenzako kama wanafaidi ivi..

Ndo matatizo yenu... tukisema ukweli mnatulaumu... kuna kibaya nimesema hapo!?? afu stevoh ulipotelea wapi..., nina mpango wa kuunda chit chat brigade kwa ajili ya kuwalinda viongozi na maslahi yao, nataka nikupe majukumu......
 
Last edited by a moderator:
Umeponea chupuchupu kupinduliwa kwenye cheo chako ila kwenye tindikali hutopona....Nakuweka kwenye list.

Hahahahahaaaa...!!!g alishasema membe kuwa serikali haipinduliwi kwa pick up na maguta... yataka moyo na kujipanga... tindikali umechelewa.. natembea na Helmet zile za madereva wa formular one....
 
Naona donge la sukari limeangushiwa kunako umati wa sisimizi...wanaligandaje sasa!

Naona vijana mabilinea wa Arusha wamekwisha.. yaani hadi masai gal analalamika hivyo.. asyele mwene jhu IGWE ndo kidogo kajitutumua.. Arushaone tangu bangi yake ikamatwe hana ujanja anasingizia kuwa amejikita siasani kumbe akaunti not readable...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaa...!!!g alishasema membe kuwa serikali haipinduliwi kwa pick up na maguta... yataka moyo na kujipanga... tindikali umechelewa.. natembea na Helmet zile za madereva wa formular one....
Na kwamba watz uwezo wa kuwekeza kwenye gesi hatuna...sisi yetu juisi na matunda tu

Wakuwache mwenyekiti

Suala langu na DEMBA tuliweke pending namfanyia probation manake hawezi kushangilia eti mapinduzi yasiyo na uhalali...
 
Last edited by a moderator:
Naona vijana mabilinea wa Arusha wamekwisha.. yaani hadi masai gal analalamika hivyo.. asyele mwene jhu IGWE ndo kidogo kajitutumua.. Arushaone tangu bangi yake ikamatwe hana ujanja anasingizia kuwa amejikita siasani kumbe akaunti not readable...

Mkuu Baba V unamanisha yale.magunia yaliyokamatwa3 moshi yalikuwa yake?
 
ahahahahahahahaaaaaaaaaa_kangi nine ndi pa workshop papapaa pa Palace hotel,...tasi ngukalonda mu_PM kambeko inamba ija simu pitasi nkabombele mbombo.
 
Niliwaambia mje ofisini
kwangu ukaahidi mtakuja hamkuja, kesho yake nikakuona mtaani umevaa
kibwaya unashangilia baada ya kudanganywa kuwa nimepinduliwa.. Do you
see that what goes round rotates!?? hahahaaa haaa , mi ndo mwenyekiti...
ngoja niwasiliane nae.....leo yupo bandarini anasajili meli yake
mpya...
ha haa haa. ndugu mwenyekiti samehe 7*70. na kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa.
 
Na kwamba watz uwezo wa
kuwekeza kwenye gesi hatuna...sisi yetu juisi na matunda tu

Wakuwache mwenyekiti

Suala langu na DEMBA tuliweke pending namfanyia
probation manake hawezi kushangilia eti mapinduzi yasiyo na
uhalali...

hubby nisamehe wajameni. makosa kaumbiwa binadamu mweeeh.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom