Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
ha haa haa. ndugu mwenyekiti samehe 7*70. na kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa.
Karibu..
ha haa haa. ndugu mwenyekiti samehe 7*70. na kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa.
ahahahahahahahaaaaaaaaaa_kangi nine ndi pa workshop papapaa pa Palace hotel,...tasi ngukalonda mu_PM kambeko inamba ija simu pitasi nkabombele mbombo.
Hi...wana cc mliko arusha nawasalimu
Nipo palace hotel
So what?
Ndo matatizo yenu... tukisema ukweli mnatulaumu... kuna kibaya nimesema hapo!?? afu stevoh ulipotelea wapi..., nina mpango wa kuunda chit chat brigade kwa ajili ya kuwalinda viongozi na maslahi yao, nataka nikupe majukumu......
jukumu la kuniweka chini ama juu???