Arusha yarindima kwa risasi! Jambazi laua polisi

Arusha yarindima kwa risasi! Jambazi laua polisi

Arusha imetikiswa na mrindimo ya Risasi eneo la Bara bara mpya kuelekea Tangeru baada ya daraja la nduruma, baada ya polisi kuvamia nyumba moja ili kulishikilia jambazi sugu, inasemekana kuwa baada ya kuzunguka nyumba yake jambazi huyo alitoka na kupiga risasi hewani na kumuuwa polisi moja na mwingine kujeruhiwa vibaya... habari kamili tutawaletea baadae. Nawasilisha
mkirua vunjo, hiyo headline bado haijakaa vizuri!. Kuiandika "breaking News" tuu haitoshi!. Ulitakiwa kuandika
"Breaking News: Risasi Zarindima Arusha, Polisi Mmmoja Auwawa!"

Mode, do the needful!
 
350x.jpg

Hii picha ina uhusiano gani na hilo jambazi?
 
Mwita ondoa skendo hapa, kwa hiyo wewe bado unachezea matoi? una umri gani?

hilo co la kujiulza huyu jamaa aliruka steji ndio maana matoi, na kuanzia leo ctamlaumu tena kwa mada na comment zake zisizo na mashiko.
 
Hawa polisi sijui kwanini hawajifunzi kuwa makini wanapoenda kufanya 'raid'. Mimi nakumbuka nilishawahi kumtishia polisi mmoja na bastola ya toy, yaani alitoka nduki huyo utasema mwanamke anakimbia wabakaji.

Mwita acha utani kwenye mambo ya msingi bana!
Polisi akimbie kiasi hicho? Ha ha haaaa umeniacha hoi!
 
mkirua vunjo, hiyo headline bado haijakaa vizuri!. Kuiandika "breaking News" tuu haitoshi!. Ulitakiwa kuandika
"Breaking News: Risasi Zarindima Arusha, Polisi Mmmoja Auwawa!"

Mode, do the needful!
Mkirua Vunjo/Mode, thanks!
 
Mkirua vunjo, hiyo headline bado haijakaa vizuri!. Kuiandika "breaking News" tuu haitoshi!. Ulitakiwa kuandika
"Breaking News: Risasi Zarindima Arusha, Polisi Mmmoja Auwawa!"

Mode, do the needful![/QUOTE]

Huyo ni Mkirua bhana usimlaumu yeye laumu anakotoka....(Kirua)
 
Nawapa pongezi jeshi la polisi kwa kupambana na Majambazi...

Lazima ilo jambazi litakuwa ni Chadema..
 
Hawa polisi sijui kwanini hawajifunzi kuwa makini wanapoenda kufanya 'raid'. Mimi nakumbuka nilishawahi kumtishia polisi mmoja na bastola ya toy, yaani alitoka nduki huyo utasema mwanamke anakimbia wabakaji.

Hapo kwenye red unataka kufikisha ujumbe fulani kwa mtindo huo, ama ni uhalisia wa kilichotokea?
 
Majambazi wamekimbia wamemkata house girl kwa mahojiano. Hapo jambazi alipokutwa ni kwa kimada wake maana mumewe na huyo mama alishafariki.Hawa polisi wawe makini wanapoenda kwenye issue kama hiyo
 
Majambazi wamekimbia wamemkamata house girl kwa mahojiano. Hapo jambazi alipokutwa ni kwa kimada wake maana mumewe na huyo mama alishafariki.Hawa polisi wawe makini wanapoenda kwenye issue kama hiyo
 
Inakuwaje polisi wanakwenda kukamata jambazi sugu kirahisi rahisi tu bila kujiandaa kikamilifu na kuchukua tahadhari zote?

Hata kama watamkamata, ameshaua askari mmoja na kujeruhi kadhaa, bado inadhihirisha kwamba jeshi la polisi limewekeza zaidi kukabiliana na maandamano kuliko kukabiliana na uhalifu.

Ni aibu kwa jeshi la polisi kuwa na uwezo mdogo sana wa kukabiliana na wahalifu hasa wanaotumia silaha za moto. Lakini wakiambiwa kudhibiti maandamano ya vyama vya upinzani pamoja na wanafunzi wa vyuo vikuu wasiokuwa hata na fimbo mkononi wanaonyesha umahiri mkubwa sana.

Hii ni aibu kubwa kwa mkuu wa jeshi la polisi kwa kushindwa kuunda jeshi la polisi, badala yake ameligeuza kuwa green guard!
 
Arusha imetikiswa na mrindimo ya Risasi eneo la Bara bara mpya kuelekea Tangeru baada ya daraja la nduruma, baada ya polisi kuvamia nyumba moja ili kulishikilia jambazi sugu, inasemekana kuwa baada ya kuzunguka nyumba yake jambazi huyo alitoka na kupiga risasi hewani na kumuuwa polisi moja na mwingine kujeruhiwa vibaya... habari kamili tutawaletea baadae

Nawasilisha
Nilidhani ni Lema anadhibitiwa asiongozane na mtu yeyote barabarani kwasababu hana kibari cha "mamlaka halali"
 
Back
Top Bottom