Arusha Wing!.......>>

Arusha Wing!.......>>

uko mitaa gani tukupitie?
nipo na teja hapa tunaweza kukutoa kidogo
 
Nipo na Arushaone kanipeleka mahali sipajui mwenye no yake ampigie atamuelekeza wapi tulipo maana hata mtalaka wangu Preta simuoni ila na hii baridi yawezekana anaimaridha boma!sasa wewe Raiza nini kimekufurahisha hadi ukacheka?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom