Arusha vs dar es salaam

Umeshaenda uzaramon? Ukrud unambie.

We acha tu
Yule Bwana harusi kumbe alishaoa miaka karibu 7 iliyopita, mke kashtuka kuwa mume anataka kuoa tena,....... asitie timu Chalinze nini,
Watu tushavaa sare zetu,.....jungu la Ubwabwa liko jikoni afu aje atutibulie shughuli.......... thubutuuuuuuuuu.
Alichezea kichapo kutoka kwetu mashoga wa bibi harusi mtarajiwa mpaka alijuta kwa nini alikuja.
Chezea watemi sie.
Ila Kaka ukisikia Binamu yako nipo Oysterbay Police usishangae, maana mke anatusak mji mzima.
 
Kaka Binamu Mr Rocky...................
Mie nawaogopa watoto wa Shule.
Hahahahahaaaaaaaaaaaaa............
Don jdg a bok by its cvr,............opn it (pengine hapo kaandika huku kajibana sehemu)
Madame B ndo hapo sasa utakapojikuta sio mtoto wa shule ila baba mzima alianza shule za Memkwa hizi
 
Last edited by a moderator:

Duh! Yamekuwa hayo? Poleni
 
Madame B daaah
mbavu zangu mie
kasutwa kawa mdogo kama priton
na bado amezidi sana kila leo ............penda penda
yanamhuuuuuuuu...........

 
Last edited by a moderator:
Baba V hata ukimweleza unapoteza tu muda
si unaona mtu anakuwa nyuma ya nondo kila siku
wala habadiliki,
eti anipe pesa, Baba V unazo pesa ngapi za kunipa????

 
Last edited by a moderator:
Madame B daaah
mbavu zangu mie
kasutwa kawa mdogo kama priton
na bado amezidi sana kila leo ............penda penda
yanamhuuuuuuuu...........

Hayamhuuuuuuuuuuuuuuu babu weeeeeeeeeeee!!!!!!!!
Hehehe.................
Ila shosti kusutwa, acha kabisa.

Sina hamu mieeeeeeeeeeee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…