Arusha ntarudi...

Arusha ntarudi...

Last edited by a moderator:
Owkey!!!!!! kama ni huko sawa kiongozi.................... mimi bado namendea za groceries .................. nikikua nitakuwa bugaluu, impala na kazalika............... huko wanaingia Arushaone kutoka Tanzanite one, Filipo kutoka tanroads, Mzee wa Rula BOT, sweetlady TRA, Erickb52 kutoka Symbion

hapana mkuu tuu wamoja otherwise uwe under 18, ntacheki na wadau tukutane basi pale Big L
 
Back
Top Bottom