sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Nimesemea kwakuwa inaendana na maeneo yenu ya kujidai
Afu wewe...... Unikome...... Usintengulie udhu mwana wa mwenzio
Nimesemea kwakuwa inaendana na maeneo yenu ya kujidai
Afu wewe...... Unikome...... Usintengulie udhu mwana wa mwenzio
mi na wewe nani mwana wa mwenzio? afu ntakuchumbia ukiendelea hivyo kha!
wewe nikikuita utakuja kutoa
ushahidi wa uongo bure ili kumkandamiza loya!
Unajua tatizo Jiwe Linaloishi anapenda maeneo ya bugaluu, pinpoint na impala.................. huko zile pombe zetu hatuwezi kuzinunu bana. labda Big L
mi na wewe nani mwana wa mwenzio? afu ntakuchumbia ukiendelea hivyo kha!
Jiwe Linaloishi ni wajeda ndo naongelea hapa.
Makubwaaaaa!!!!...... Umchumbie house girl wako lol...... Kumbe huwa unanitamani eeh..... Copy Lily Flower
poa kamanda... vipi huko moshi hali ya hewa ikoje....
My Lily Flower anajua neno chumbia ina tafasiri nyingi.........................
Hebu na wewe nisaidie kumshangaa huyu Mungi..... Tena mwambie anikome mie
Raining especial last two nights. Si unakam leo?
jana kuna maji nilikunywa mpaka sasa yananipa kauvivu ka kutoka sijajua mkuu ngoja viungo viachie kwanza naweza nyofoka