Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,361
nimekumis kweli!
Lakini hawachelewi kurudi rivasi hao tehe tehe.
nimekumis kweli!
Mkuu karibu sana Jiji la maraha na karaha...
karudi kijijini maisha ya mjini
yamemshinda hahaaa!
Kocha se uluwie......luche kuirikira....ambiya ulawarime......ngesuo sana cha lhoi......
hahaaa!kwani vibaya wakirudi rivasi Mzee wa Rula?
Bora urudi maana..Usisahau matango pale Ruvu darajani.
Weeee.......karaha itoke wapi.....dollar zote hizi.....euros......mucho ambiance......la vida es muy dulce aqui hombre.......
Jiwe Linaloishi utaishi daima, karibu tena na tena wewe na wa huku na unaheshimika sana. Karibu tena.
asante kwa kushukuru
karibu tena Jiwe Linaloishi!
tutakumis sana!
karudi kijijini maisha ya mjini
yamemshinda hahaaa!
my swt hat Ruttashobolwa
sijafikiria kukufanyia kitu kama hicho!
i love u so much u no it!
haaaa!swr mambo ya movie yametoka wapi
wala mi nilienda kumsalimia tu bana!
Mkuu karibu sana Jiji la maraha na karaha...
Jiwe kwa niaba ya Chocs nasema asante..nilipanga kuja kumtambulisha Chocs ukiwepo ila sio issue Mzee wa Rula atakuwakilisha.
Haya ! acha sie tulale