Arusha ntarudi...

Arusha ntarudi...

JiweLinaloishi

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
3,737
Reaction score
2,139
Ndugu zangu Rafiki zangu, Arusha wing

Ukifika wakati kama huu unajikuta hata maneno ya kusema hamna, nilikuja Ar tarehe 20/2 na ninaondoka tarehe 20/3 kurudi Dar, mwezi mmoja umepita ndio maana nimesema Ndugu zangu rafiki zangu, mwezi si mdogo kuwasiliana na kuonana mara kwa mara mnakuwa zaidi ya marafiki.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu kwa ukarimu wenu mlionitendea kipindi chote nilichokuwa hapa, nimezoea hali ya hewa, maji ya hapa, chakula cha hapa,mazingira ya hapa, watu wa hapa, sehemu mbali mbali za ibada na kula bata,nimekuwa mwenyeji kwakweli.. lakini yanipasa kuviacha vyote na kurudi kwenye asili yangu jiji letu la joto DAR, masikitiko yaliyoje kwenda kuanza kuzoea joto, folen za dar wallah ntarudi
Nilifurahi sana nilipokutana nanyi hakika mko organized, japo si wote niliofanikiwa kukutana nao kutokana na ratiba zetu kupishana siyo mbaya wakati wa kurudi ntawajuza badugu zangu.

Arushaone shukrani sana kwa kufanikisha mjumuiko wa jpili na wale wote walioufanya ukawa wa furaha, Chilipo chilipo msalimie sana shemeji.
Passion Lady asante sana kwa Moves

CC, PakaJimmy Filipo, Mr Rocky Erickb52 Tonykp Mzee wa Rula
Preta sweetlady Blaki Womani, Lily Flower, marejesho Passion Lady na wengineo wote


Jiwe:lalala:
thanks-notes.jpg
 
asante nikirudi ntakaribia... japo safarii hii umenitenga

Wewe mwenyewe wajua siwezi kukutenga...... Sijui nini kimetokea mpaka tukapishana..... Ila nafurahi vile umepata wenyeji na umeifurahia arusha yetu........... Mengine ntamalizana na mwenyekiti pamoja na katibu wake
 
Kocha se uluwie......luche kuirikira....ambiya ulawarime......ngesuo sana cha lhoi......
 
Jiwe Linaloishi utaishi daima, karibu tena na tena wewe na wa huku na unaheshimika sana. Karibu tena.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom